Huu ushaidi unaonyesha kabisa baba Diamond hakustahili haya na huenda mama ndio akawa mbaya

Huu ushaidi unaonyesha kabisa baba Diamond hakustahili haya na huenda mama ndio akawa mbaya

Sasa umesema wewe unamwona Chizi sababu kila mara anaongea na waandishi,,

Sasa hao waandishi anaongea nao wapi?

Kama hafuatwi na hao waandishi??

Kwani waandishi wakikufuata lazima uongee nao? Wanamuona punguani ndio maana hata waandishi uchwara wa YouTube wanamfuata
 
Ukiendelea na tabia ya kuvamia chumba cha mabaharia umevaa dera bila chupii.
Hutopona bawasiri

Next time njoo na Vaseline..hutoumia
Pole sana, Vaseline ndo mafuta nayo yapenda, na bahati mbaya hutapata bahati ya kunipaka. Napenda kupakwa mafuta lakn sio na boya Kama wewe
 
Yule mzee anafuatwa,,hana uwezo wowote wa kuita Media...
Hana uwezo wa kuita media?! Hivi unayajua magazeti ya udaku wewe?! Hata wewe wapigie simu kuwaambia una bonge la scandal kuhusu Domo au staa yeyote wa Kibongo kama hawajakufuata popote ulipo. Huyo mzee alikuwa anatumika na magazeti ya udaku, hadi mwenyewe anakuja kushituka na kuwaambia wasiwe wanamgombanisha na mwanae ilishakuwa too late kwa sababu tayari alishakuwa amefanya damage kubwa sana na ndio maana kuna siku Domo akiwa live pale Wasafi alisema wazi kwamba kinachomkera kuhusu mzee Abdul ni tabia yake ya kutumika na magazeti ya udaku
 
Habari wadau kama mtakua mnatembelea mitandao ya kijamii naamini Habari kubwa sasaiv ni Diamond na baba yake watu wamekua na maswal mengi kila mtu ameuliza lake na bila kupata Majibu Bali kubaki na maswali yalio zalishwa na swali

Mimi binafs niende moja kwa moja kwenye hoja. Na kusema kwa akil zangu timam nikiangalia situation ya maisha ya Mama Diamond anavyo ishi anavyo jiweka na maisha ya Baba Diamond Iman yangu inaniambia kua Mama kamlisha Sumu mbaya Sana Mwanae. Na kila siku inapo kucha Diamond anazid kuambiwa Mengi Tena kwa ukaribu Zaid na mama yake juu ya baba yake

Kwanini Diamond hataki kumsamehe Baba yake kumpa hata 10k kwa siku ili imsaidie?

Ni kosa gani kubwa kalifanya Baba Diamond wakat hakukataa Mimba ya Diamond na apo awal inaonyeaha wazi kabisa Diamond na baba yake na mama yake walikua ni Familia yenye furaha? Kipi kilitokea mpaka Leo hii Diamond hatak kumsaidia Baba yake? Mana sidhan kama mzaz hakukataa Mimba akailea mpaka uka kua Baada ya apo hakuna kosa lisilo sameheka kwa Baba au mama utamuukum kwa lip mzaz alie kulea mpaka ukakua na Kuanza kujieleza?

Wanawake kama mmepanda zao wote pamoja basi na kwenye mavuno iwe ivyo ivyo Pia ningependa kumshaur mama Diamond aache kuwapa watu Iman mbaya Zaid yake ya wao kufikiria kua yeye ndio sababu kwa mambo anayo yafanya na kuyaongea juzi Anamjibu mtu kwenye Mitandao ya kijamii kua nanukuu "kwani diamond ndio mtoto wake pekee si anamtoto mwingine mkubwa aende akamsaidie Kwan mpaka Diamond" dah Mama diamond muogope Mungu

Narudia Tena mimi Binafs sion dhambi kubwa ya mtoto kumtesa mzee Abdul vile kwa dam yake kama hakukataa mimba na kuitelekeka Familia

Mbaya Zaid Baba Diamond kafika mbali na kusema kua akifa Diamond asiendee kumzika hii sio poa kabisa Diamond Baba yako uyo embu fikiria pemben bila kumshirikisha mama yako alafu upime unacho fanya ni Sawa?

Hii picha inaonekana kama ya kuchonga!! Si unaona hicho kipande cha mzee kinaonekana kama kimeungiwa!!! Mama na mwana walijitayalisha kupiga picha kwa kuvaa vizuri lakini baba mbona si hivyo?
 
Hana uwezo wa kuita media?! Hivi unayajua magazeti ya udaku wewe?! Hata wewe wapigie simu kuwaambia una bonge la scandal kuhusu Domo au staa yeyote wa Kibongo kama hawajakufuata popote ulipo. Huyo mzee alikuwa anatumika na magazeti ya udaku, hadi mwenyewe anakuja kushituka na kuwaambia wasiwe wanamgombanisha na mwanae ilishakuwa too late kwa sababu tayari alishakuwa amefanya damage kubwa sana na ndio maana kuna siku Domo akiwa live pale Wasafi alisema wazi kwamba kinachomkera kuhusu mzee Abdul ni tabia yake ya kutumika na magazeti ya udaku
Sasa kosa lake nn hata Kama anaita media kupeleka ujumbe kwa diamond?

Huyo mtoto hana adabu,,

Mwache dunia itamfunza one day.
 
Pole sana, Vaseline ndo mafuta nayo yapenda, na bahati mbaya hutapata bahati ya kunipaka. Napenda kupakwa mafuta lakn sio na boya Kama wewe

Next time nitapaka mimi kwenye kipara kisikuumize..
 
Kwani alivokua na Pesa alimjua Diamond?si aliona badala ya kusomesha mtoto wake aliangaika na Malaya,hakujua Diamond anakula Nini anavaa nini,Hata nauli ya daladala alionyimwa,unataka huyo Baba yeye asipate hata kashida?
Endeleeni kumjaza ujinga diamond,

Wakati baba yako ukimpelekea chumvi na dagaa
 
Acheni please kusema uongo kuwa masingle maza huwa wanalisha sumu watoto wao. Ni hiviii mtoto anaanza ku recognise his/her parents from early stage in life; few months old and second tunaanza ku form memories from the tender age of 3, sasa wewe kama Baba usi create a bond na mwanao from this age, ukamwachia mwanao good memories usitegemee afanye tofauti akiwa mkubwa! Ulikua non-existing in his life ama memories ulizoacha ni chapombe,umalaya na vipigo kwa mama yake, mtoto anakua mkubwa siku zote akitaka kumprotect mama yake , kumuonyesha upendo mama yake, sasa nyie mnatafsiri analishwa sumu, atakusaidia wewe Baba as a favour au ni ubinadamu tu kusaidia lakini Moyoni mwake kuna resentment ambayo ni ngumu kidogo kufutika. Kiukweli wababa humu muweke efforts kuweka bond na watoto wenu tangia wadogo, Hata mtu akisema baya kuhusu nyie halita affect chochote since mtoto ana good memories of you. Na lazima akutafute akiwa mkubwa kwa sababu umeacha alama katika Maisha yake kwa kuwa na bond strong alivyokua mdogo...
 
hii ndio best comment! funga kazi
 
Back
Top Bottom