Huu ushaidi unaonyesha kabisa baba Diamond hakustahili haya na huenda mama ndio akawa mbaya

Huu ushaidi unaonyesha kabisa baba Diamond hakustahili haya na huenda mama ndio akawa mbaya

Sija hukumu au wewe sio mkristu maneno yapo kwenye masomo ya ijili, Yesu mwenye alisema ASIYE KUBALI KUUBEBA MSALABA WAKE HANIFAI,sijamuhukumu ila alichokifanya kina reflect alicho kiongea Yesu.

Wamama ndio wanapenda visasi LAKINI HAIWEZEKANI WAMAMA WAWILI WAWE WOTE WANAPENDA KISASI,manake ni kama umemweka mzee Abdul kwenye kundi la malaika,pamoja na kulirudia kosa moja mara mbili kwa wanawake wawili tofauti.
What if mmoja alikua side chick. What if hata huyo queen si wa huyo baba alibambikiwa tu?? Halaf yaan mkuu ndo unatumia judgement hiyo kuconclude kwamba he was a bad man?

Yes, unafanya kazi ya Mungu kwakua alishasema kuhukumu ninkazi yake. Yes, baba amebeba msalaba wake. Amejua amekisea na amejirudi. Ubaya uko wapi
 
Qween Darleen wala hakutengwa na mzee abdul ila tu Dada wa watu anategemea ugali kwa kaka yake mwenye akil kama za mama yake
 
Kwa hiyo akiwa side chick kama akizalishwa anatakiwa kutelekezwa?

What if Diamond naye alimbambikiwa ,manake mama ndiye anayejua siri.

Si mjaji mtu bali ushahidi wa kimazingira na kihistoria unaonyesha wazi,Waswahili wanasema kosa moja si kosa bali kurudia kosa ni KOSA,huwezi ukafanya kosa moja mara mbili kwa watoto wawili uliozaa kwa wanawake wawili tofauti na ukawatelekeza kwa mda tofauti alafu useme SIO kosa.
 
1-Jamaa anamla Bi Mkubwa wake ,na moja ya magonvi yalokuwepo kati ya Bi mkubwa wake na Zari ni juu ya Diamond .

2-Mashariti alopewa .

Jamaa yupo tayari kugawa kondom bure, lkn hayupo tayri kumsaidia Mzee wake.
Aisee
 
Nasibu hana sababu ya kumtunza huyo mzee kama yeye alishindwa kumtunza alipokuwa mdogo.........vijana waliolelewa na mama pekee huku wakimshuhudia baba akiponda raha na vimwana watakuwa wanaelewa vyema changamoto hiyo........

NB
LABDA KAMA KUNA SABABU NYINGINE NJE YA HIZO.......
 
Roho zetu zinatofautiana sanaa,

Nina mtoto wa nje namjali kwa kila hali mamake nishamwambia kama mapenz yangu mm ma yeye yalishindikana aache mtoto akue na akil zake asisimulie mabaya yangu asimulie na mazur yang akiamua kifanya hivyo maana yeye ndo anaishi nae

Mwisho kwa mtizamo wangu Diamond ana akili zake sahv lawama zimwendee yeye mwenyew sio mamake na ashukuliwe Mungu yeye ni wa kiume ipo siku atakuja kuwajua wanawake vizur kuwa wanakuona unafaa ukiwa nacho ukikosa wanakuona hufai ndo yaliyomkuta babake .
Huwa nawashangaa wanaosema wanalishwa simu na mama zao,
Mimi na mama hatukuwahi kujadili chochote kuhusu baba,

Ila nafsi yangu imemkataa mpaka kesho
 
Ile kumwita uncle ni kuhalalisha haramu..

Yaani Diamond fala sana,,nasikia hata vumbi la congo anamnunulia huyo uncle ili amsuguwe vizuri mama yake.
Umbea mwingine hauna hata ladha
 
Qween Darleen wala hakutengwa na mzee abdul ila tu Dada wa watu anategemea ugali kwa kaka yake mwenye akil kama za mama yake
Ndo hapo nashangaa josee anahukuumuu. Mimi bana mambo ya familia napenda sana amani. Kesho yangu siijui
 
Hao ndio wale wanaitwaga masingle mother ambao hawatakiwi kuolewa.
 
Kwa hiyo akiwa side chick kama akizalishwa anatakiwa kutelekezwa?

What if Diamond naye alimbambikiwa ,manake mama ndiye anayejua siri.

Si mjaji mtu bali ushahidi wa kimazingira na kihistoria unaonyesha wazi,Waswahili wanasema kosa moja si kosa bali kurudia kosa ni KOSA,huwezi ukafanya kosa moja mara mbili kwa watoto wawili uliozaa kwa wanawake wawili tofauti na ukawatelekeza kwa mda tofauti alafu useme SIO kosa.
Nani amesema kutelekezwa ni sawa. Wewe ndo unaforce vinyongo. Na ukristu haifundishi hv. Baba ameona alikokosea. Ametamani kujiunga na familia yake tena. Kosa liko wapi. Mama ndo hataki baba kupewa maupendo. Kwangu ana ushetani
 
Habari wadau kama mtakua mnatembelea mitandao ya kijamii naamini Habari kubwa sasaiv ni Diamond na baba yake watu wamekua na maswal mengi kila mtu ameuliza lake na bila kupata Majibu Bali kubaki na maswali yalio zalishwa na swali

Mimi binafs niende moja kwa moja kwenye hoja. Na kusema kwa akil zangu timam nikiangalia situation ya maisha ya Mama Diamond anavyo ishi anavyo jiweka na maisha ya Baba Diamond Iman yangu inaniambia kua Mama kamlisha Sumu mbaya Sana Mwanae. Na kila siku inapo kucha Diamond anazid kuambiwa Mengi Tena kwa ukaribu Zaid na mama yake juu ya baba yake

Kwanini Diamond hataki kumsamehe Baba yake kumpa hata 10k kwa siku ili imsaidie?

Ni kosa gani kubwa kalifanya Baba Diamond wakat hakukataa Mimba ya Diamond na apo awal inaonyeaha wazi kabisa Diamond na baba yake na mama yake walikua ni Familia yenye furaha? Kipi kilitokea mpaka Leo hii Diamond hatak kumsaidia Baba yake? Mana sidhan kama mzaz hakukataa Mimba akailea mpaka uka kua Baada ya apo hakuna kosa lisilo sameheka kwa Baba au mama utamuukum kwa lip mzaz alie kulea mpaka ukakua na Kuanza kujieleza?

Wanawake kama mmepanda zao wote pamoja basi na kwenye mavuno iwe ivyo ivyo Pia ningependa kumshaur mama Diamond aache kuwapa watu Iman mbaya Zaid yake ya wao kufikiria kua yeye ndio sababu kwa mambo anayo yafanya na kuyaongea juzi Anamjibu mtu kwenye Mitandao ya kijamii kua nanukuu "kwani diamond ndio mtoto wake pekee si anamtoto mwingine mkubwa aende akamsaidie Kwan mpaka Diamond" dah Mama diamond muogope Mungu

Narudia Tena mimi Binafs sion dhambi kubwa ya mtoto kumtesa mzee Abdul vile kwa dam yake kama hakukataa mimba na kuitelekeka Familia

Mbaya Zaid Baba Diamond kafika mbali na kusema kua akifa Diamond asiendee kumzika hii sio poa kabisa Diamond Baba yako uyo embu fikiria pemben bila kumshirikisha mama yako alafu upime unacho fanya ni Sawa?

Mkuu hii ni simu gani unatumia data ziwaka zote?
 
Nani amesema kutelekezwa ni sawa. Wewe ndo unaforce vinyongo. Na ukristu haifundishi hv. Baba ameona alikokosea. Ametamani kujiunga na familia yake tena. Kosa liko wapi. Mama ndo hataki baba kupewa maupendo. Kwangu ana ushetani
Wewe huwezi ona Diamond na Darleen wametelekezwa manake wewe unaona sawa alichokifanya mzee na ndio maana ktk post yako ya kwanza lawama zote ulipa mama D na ndio maana nika kuuliza vipi nae mama Queen hukunijibu umerukaruka tu.

Familia ni baba ,mama na watoto sasa familia hamna sababu kaivunja yeye mwenyewe,yeye sasa hivi ana mke wake na kazaa nae,Mama Diamond naye ana mume,sasa watarudi vipi.

Yeye sasa hivi ashukuru kwani still watoto wake alio watelekeza wana msaidia ana mpaka bima ya afya na akiwa na shida wana msaidia kwani
,wenzake Baba yake Wana Fa na Dimpozi hawali hata thumni ya watoto wao.

Ashukuru kwa upendo huo wanao mwenyeshea,sasa labda wewe ulitaka wafanye nini? Sababu kurudi kama zamani kama familia haiwezekani kila mtu ana maisha yake.
 
Mimi namlaumu MANA DANGOTE.
Sio diamond.
Mama dangote angekufa hapo sawa ningemlaumu diamond.
 
Back
Top Bottom