miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Honestly tukisema ni mambo ya familia na huyu diamond ni kioo cha jamii tukisema tukae kimya haitasaidia maana tunajifunza.
Honestly najisikia vibaya sana kama mwanamke. Naumia kutoka moyoni kuona ukatili wa mama kama hivi. Hapa mtu asijitokeze aseme kwamba sijui hatujui uchungu wa kuwa single mothers. Hapa majority tuko raised na mama zetu. Watu tuna mikasa na baba zetu sana sana sana na sababu siyo sisi. Ni mama zetu pia. Sisi wanawake most of times tunapenda sana kuplay victim. Tunazingua sana. Tusipende all the time tuwatupia wanaume lawama. Katika mahusiano mtu akikuelezea madhaifu ya partner wake tu na yete akajiweka katika hali ya usafi jua kuna shida. Hakunaga mahusiano perfect unless mmoja wapo hajapenda kweli ama wote mnachezeana drammar. Sisi wanawake hatupendagi kabisa kuweka madhaifu yetu hadharani.
Sasa mama dai nakumbuka amewahi kushutumiwa na baba dai kwamba kipindi wako pamoja amewahi msaliti. Alimfumania. Kuna maisha huyu mama alikua akiyapenda na kutaman kuyaishi. So alipopata mwanaume mwenye hela akameona kama baba dai hana thamani. Basi baba dai akatembea mbele. Hata suala la mimba lilikua na mushkeli.
Kwamba mama dai alikua akiyapenda maisha ya juu sana. Ana ulimbukeni. Mshamba. Hata kama unafurahia maisha ya mwanao na mafanikio siyo kihivyo. Mbaya zaidi ndo hivyo analelea viben ten. Watu.mnaweza sema sijui ni maisha ya watu lakini kumbukeni na sisi tuna watoto. Yataturudia. Sidhan kama kuna mwanamke atatamani mwanae wa kiume aje kuishi maisha ya shamte.
Wamama wanawalisha sana sumu watoto wao. Wamejawa na ubinafsi sana. Yuko rafiki yetu mama yake na baba yake kila mmoja sasa hv anaishi nyumba yake. Mama kajitenga. Kajitoa kwa nyumba kubwa kahamia nyumba ya mtoto wake wa kiume ya nje. Mama anajipia na mama anajipia kivyake. Baba aliparalyse[emoji26] anaendelea poa kwa sasa. Nyimba ya baba ni chafu balaa. Cha kuhuzunisha saaa.. mama hataki mtoto ampe baba yake hata sumni. Hata mtoto amnunilie babake sijui saa sijui nn. Chochote hataki. Si uchawi huo jamani? Uzuri ni vile mwanae anasimamia uanaume. Siyo kama dai na ujinga wake. Dai siyo mtoto. Ni mpumbavu. Anakosa baraka za baba hivihivj. Na hata baba angekua amekosea kiasi gani, bado ndo baba. Anastahili upendo. Baba ni huyohuyo. Kuna siku atamtafuta amkose hata asipokiri kwa halaiki. Haimaanishi kwamba wababa hawazingui lakini kusambaza chuki itatutafina sana wanawake. Waacheni watoto wakue wajionee wenyewe maana siku hizi watoto wadogo wanaelewa kila kitu. Watafanya maamuzi wenyewe.
Halaf dai anasahau karma never misses address. Anayofanya na yeye ni baba. Hatoamini watoto watakapofungamana na mama yao wamtenge pia kama anavyomfanyia babake.
I love you babangu. Mungu akulinde kwa kila hatua.