So vipi kama jamaa aliwafukuza mtoto na mamake kama mbwa na matusi juu?..lazima tujue kuna kitu kikubwa kilitokea ambacho hakisemwi
Daribini zetu zinasema kwamba,,,
Hapo zamani za kale ,,,baba diamond alikuwa anaishi nyumbani kwa mama diamond kama marioo.
Baada ya mama diamond kupata mpnz mpya ,
baba diamond alifukuzwa kama mgoni
aliyefumaniwa na mwenye mke.
Miezi kadhaa ilipita na mama diamond akaachwa solemba na marioo wake mpya ,,,
Mama diamond ilibidi amfate tena baba diamond kuomba radhi,,,warudiane.
Darubini zetu zinasema kwamba,,
Baba diamond alimtosa huyo mama diamond sababu wakati huo tayari alikuwa ktk mahusiano na mama queen dareen..
Baada ya kutoswa huyo mama,,
Hasira zake ndy akazihamisha kwa kutengeneza mazingira kwamba huyo mzee alimkataa diamond.,,
Lakini ukwl ni kwamba huyo mama ni kama analipiza kisasi cha mapenzi kwa baba diamond.,,
Lakini yeye ndy mdangaji,,na yeye ndy hataki diamond amsaidie baba yake.