Huu ushaidi unaonyesha kabisa baba Diamond hakustahili haya na huenda mama ndio akawa mbaya

Very good.Mimi huwa nasema,bora hata ukimsamehe tu mzazi wako,angalau unamsaidia ili aendelee kuwa hai, yaani kumsaidia kwenye ugonjwa n.k.
Hivi unaombaje msamaha kwa Muumba wetu,ikiwa wewe huwezi kusamehe?
 
Very good.Mimi huwa nasema,bora hata ukimsamehe tu mzazi wako,angalau unamsaidia ili aendelee kuwa hai, yaani kumsaidia kwenye ugonjwa n.k.
Hivi unaombaje msamaha kwa Muumba wetu,ikiwa wewe huwezi kusamehe?
Yupo kawaida sababu wazaz wake wote wapo siku yule mzaz anayempenda mungu akimpenda zaidi ataumia sanaa nakukumbuka wazaz ni muhimu kuwaona wanaishi
 
[emoji23][emoji23]
 
😀😀😀Nimecheka vile mnachambua maudhui ya picha.
Wale tuliosoma geography paper 2 topographic features tuko vizuri😀😀😀😀
 
Nakuhakikishia mkuu,,

Kama hutambui umuhimu wa mzazi utauona siku akiondoka duniani..

Naamini siku huyo mzee akifariki diamond atakuwa kwenye wakati mgumu kuliko wowote tangu aumbwe na MUNGU.

Fafanua mkuu. Atamkumbuka kwa lipi na kivipi?
 
1-Jamaa anamla Bi Mkubwa wake ,na moja ya magonvi yalokuwepo kati ya Bi mkubwa wake na Zari ni juu ya Diamond .

2-Mashariti alopewa .


Jamaa yupo tayari kugawa kondom bure, lkn hayupo tayri kumsaidia Mzee wake.

Astakafirulah x3😲
 

Kibamia anaingiaje humu??
 
Fafanua mkuu. Atamkumbuka kwa lipi na kivipi?
Hivi mtu ambaye hukumtaka wala kumjali wakati yupo hai.
Na ukasimamia msimamo wako kwamba humtaki huyo mzee.

--Je ,,mzee akifariki diamond atakwenda pale nyumbani kama nani?
--Je na jamii especially ndugu na jamaa wa mzee Abdul watamuangalia kwa Jicho gani?

Hayo ni maswali magumu yatakayomumiza kichwa siku atakapoondoka mzee Abdul.
 

Kama kweli Diamond ana lalamiko la haki kwa baba yake, na ikiwa pia diamond anashindwa kushikamana na baba kwa kuwa baba hakumjali utotoni, basi hayo hawezi kuumia Wala kujali pindi mzee akifa.

Ni principle: ukimjali mtoto utotoni, atakujali uzeeni.

Ninadhani haijawahi kukutokea au hujawahi kuona.
 
Hivi ni kama watoto wote waliotengwa na wazazi wao wangekuwa wanawatupa wazazi wao kama diamond ingekuwaje?

Hata kama baba yake hakumtunza akiwa mdogo,

Je huyo uncle shamte anayekula pesa za diamond alimtunza kwa lipi?
 
Hivi ni kama watoto wote waliotengwa na wazazi wao wangekuwa wanawatupa wazazi wao kama diamond ingekuwaje?

Hata kama baba yake hakumtunza akiwa mdogo,

Je huyo uncle shamte anayekula pesa za diamond alimtunza kwa lipi?
Kwani kuna ubaya gani Uncle Shamte kula hela za Diamond.

Hata huyo mzee alivyo muacha Mama Diamond akaenda kwa mwanamke mwengine anaye kaa nae sasa hivi na kumzalisha watoto watatu,so mda huo hela za baba Diamond alikuwa anakula huyo mke wake mpya pamoja na watoto,huku Diamond na Mama yake wakipitia msoto.

Acha Diamond asapoti kinacho mpa furaha mama yake kama mama yake alivyo msapoti katika kumlea na kukuza kipaji chake,baada ya huzuni na mateso makubwa waliyo ya pitia na uzuri wamehalalishwa kidini ndoa yao.
 
Hivi ni kama watoto wote waliotengwa na wazazi wao wangekuwa wanawatupa wazazi wao kama diamond ingekuwaje?

Hata kama baba yake hakumtunza akiwa mdogo,

Je huyo uncle shamte anayekula pesa za diamond alimtunza kwa lipi?

Ndiyo hapo sasa ujue ngoma ukiicheza ndiyo utafahamu utamu wake
 
Sawa mkuu,,

Ila nilichojifunza ktk sakata zima la ugomvi wa baba diamond na diamond,,ni ufukara wa baba diamond alionao

Hivyo basi tunapaswa kutafuta pesa kwa wingi,,
kwani hakuna baba Tajiri aliyekataliwa na mwanae..
hata akatae mimba,,bado atakumbatiwa kwa mapenzi makubwa na mwanae.
 
Hivi Diamond angekuwa fukara huyo mzee ange mtafuta.

Baba yake Ommy kaonekana baada ya Ommy kuwa vizuri kifedha.

Baba Mwana Fa nae hivyo,je hao kama wangekuwa mafukara wangejitokeza?

Baba Diamond hakuwa fukara bali ujinga wake mwenyewe na ndio maana alivyo mwacha mama diamond akaenda kuzaa na mwanamke mwengine,sasa huwezi kusema huyu alikuwa masikini bali ujinga wake mwenyewe.

Siku zote mtoto humjali mzazi wake haijalishi ana hali gani,hata ukiwa na mia hakikisha unakula na mwanao,kwani hicho hicho kidogo kinaacha alama kubwa ya upendo na ukumbusho kwa watoto na mke wako kwani wanaona.Yaani hakikisha uwe na hali nzuri au ngumu zote unapitia pamoja na watoto wako,NAKUHAKIKISHIA UKIFANYA HIVYO WATOTO ZAKO HAWATO KUACHA KAMWE.

Cristian Ronaldo mpaka kesho anamkumbuka baba yake,pamoja walikuwa na ufukara wa kutupa lkn mzee wao hajawaacha na haja ikimbia familia.

Daniel Alves yule kapitia magumu pamoja ya wazazi wake,baba yake hakuwaacha familia yake pamoja na ufukara wake hajawahi kuwaacha watoto wake,Dan alikuwa anatembea km kibao kwenda kucheza mpira,baba yake alimsapoti kwa kile alicho jaliwa.Leo hii wanakula matunda ya mtoto wao.

Timiza wajibu wako mtoto wako hatokuacha uzeeni au unapo pitia magumu kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…