Huu ushaidi unaonyesha kabisa baba Diamond hakustahili haya na huenda mama ndio akawa mbaya

Huu ushaidi unaonyesha kabisa baba Diamond hakustahili haya na huenda mama ndio akawa mbaya

Hebu wana jf muanzishieni uzi baba diamond
Ya kukaa kimya asiongee na media yoyote mpka wampe hela maana inaelekea hajuwi thamani yake.
Sana sana anawapa tu media content
Mshana Jr

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hiyo picha haitoshi kuthibitisha kama mzee baba alikuwa anaipenda familia yake

Ukiangalia hiyo picha kwa umakini inaonyesha hapo Diamond na mama yake walienda nyumbani kwa mzee baba na inawezekana mama Diamond hapo alifuata pesa ya matunzo ya mtoto sijui kama alipewa au hakupewa

Pia inaonyesha mzee baba ana furaha lakini mama mond hana furaha yani hapo kuna kitu hakipo sawa

Lakini pia Diamond na mama yake walikuwa wanaishi Tandale na mzee baba alikuwa anaishi manzese ki uhalisia tandale na manzese ni eneo moja tu hivyo mzee baba alikuwa na nafasi ya kuonyesha upendo kwa mtoto wake

Ila ni bora hamsamehe tu maana ameshajifunza mengi sana
Umeandika vizuri
 
Vipi Queen Darleen naye,mama yake naye alikuwa mcharuko? au alikuwa anapenda maisha ya juu? au naye alikuwa anapenda viben ten?

Umezalisha mwanamke wa kwanza ukamtelekeza,wa pili naye umezalisha ukatelekeza,still mpaka hapo bado una mlaumu huyo Mama,yaani wanawake wawili wote wawe na matatizo,hilo haliwezekani.
Hàpo umepigilia msumari mkuu
 
Nani amesema kutelekezwa ni sawa. Wewe ndo unaforce vinyongo. Na ukristu haifundishi hv. Baba ameona alikokosea. Ametamani kujiunga na familia yake tena. Kosa liko wapi. Mama ndo hataki baba kupewa maupendo. Kwangu ana ushetani
Sasa hatajiungaje wakati mama dangote ana mume tayari ?
 
Dua za kuku hizo! Na kosa lake ni kutumika na media! Lakini yote kwa yote, tuache unafiki wa kujifanya mnamhurumia sana huyo mzee!!
Watu wanafiki sana , kwann hawamchangia pesa Mzee Abdul Kama wanampenda ? Porojo nyingi
 
Back
Top Bottom