Huu Ushindi wa Dr Tulia Ackson umekosa mvuto baada ya kuona Somalia, Malawi na Senegal ndio washindani wake. Je IPU ni bunge la Kusini mwa Sahara?

Kwenda huko na wananchi au wako pamoja na li roho lako la kishetani.Nyie si ndio mlisema hawezi kushinda? Si mlisema atapita Msenegal? Sasa kwanini mmeanza kuhamisha magoli? Utakufa kwa presha maana Dr Tulia Anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya walimwengu huku wewe ukiendelea kukondeana. Usishindane na aliyepewa kibali na Mwenyezi Mungu.Dr Tulia ni mpango wa Mungu Mwenyewe kwa hiyo kushindana naye ni kutaka kufa kwa BP tu.
 
Hasira za nini sasa Kaka Lucas? Amemshinda msomalia shida nini?
 
Ama kweli wazungu wana dharau sana.

Huku wakiita ni Umoja wa Mabunge ya Dunia lakini wagombea woote ni wafrica tu tena kutoka kwenye Nchi zisizo na Hadhi yoyote kwenye nyanja yoyote kidunia.

Kama ningekua Dr Tulia Ackson nisingegombea.

Kitu chenye heshima ambacho Mzungu hajaona hata kuchukua form hicho kitu ni ceremonial tu.
Ndiyo maana hata CCM hawashangili
 
Ama kweli wazungu wana dharau sana.

Huku wakiita ni Umoja wa Mabunge ya Dunia lakini wagombea woote ni wafrica tu tena kutoka kwenye Nchi zisizo na Hadhi yoyote kwenye nyanja yoyote kidunia.

Kama ningekua Dr Tulia Ackson nisingegombea.

Kitu chenye heshima ambacho Mzungu hajaona hata kuchukua form hicho kitu ni ceremonial tu.
Ushindi ni ushindi tu

Wivu unakusumbua
 
Ni vyeo vya kijinga, ila kwa Tulia kinampa faraja maana wangalau ndio uchaguzi anaoweza kushinda kihalali.
 
Ushindi ni ushindi tu

Wivu unakusumbua
Vyeo visivyo na tija. Watu wajinga tu ndio hugombea vyeo vya aina hiyo. Ni sawa na mwanafunzi kugombea kuwa class monitor au kaka/dada mkuu. Ni upuuzi mtupu.
 
Vinajenga CV kwa taarifa yako

Raisi wa mabunge duniani hata kama halipwi hata mia anakuwa na uwezo hata wa kugombea ukatibu mkuu wa umoja wa mataifa sababu tayari ni International figure kimataifa kwenye taasisi kubwa

Tofauti na mtu kama Tundu Lisu kugombea cheo mwisho singida ubunge ikungi
 
Kwa taarifa yako hicho ni cheo chenye faida kwake binafsi. Hata angekuwa katibu mkuu wa UN, kwani hiyo UN kwa siku hizi ina impact gani kwenye Dunia hii, sembuse hiyo sijui ICU? Inshort ni cheo kisicho na tija yoyote zaidi yake na familia yake.
 
Back
Top Bottom