Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #41
Ukweli mtupuKwa taarifa yako ni hicho ni cheo chenye faida kwake binafsi. Hata angekuwa katibu mkuu wa UN, kwani hiyo UN kwa siku hizi ina impact gani kwenye Dunia hii, sembuse hiyo sijui ICU? Inshort NJ cheo kisicho na tija yoyote zaidi yake na familia yake.