Kama ushindi wenyewe ni huu basi wacha achukue tu
Mbona Mamaako ni mkoma na unamvumilia?Wamemuacha ashindane na wakoma wenzake
Kwani kaiba na huko?Kunywa maji poza kichwa π π π kaiba kura sio bure π π
Hasira za nini sasa Kaka Lucas? Amemshinda msomalia shida nini?Kwenda huko na wananchi au wako pamoja na li roho lako la kishetani.Nyie si ndio mlisema hawezi kushinda? Si mlisema atapita Msenegal? Sasa kwanini mmeanza kuhamisha magoli? Utakufa kwa presha maana Dr Tulia Anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya walimwengu huku wewe ukiendelea kukondeana. Usishindane na aliyepewa kibali na Mwenyezi Mungu.Dr Tulia ni mpango wa Mungu Mwenyewe kwa hiyo kushindana naye ni kutaka kufa kwa BP tu.
Ndiyo maana hata CCM hawashangiliAma kweli wazungu wana dharau sana.
Huku wakiita ni Umoja wa Mabunge ya Dunia lakini wagombea woote ni wafrica tu tena kutoka kwenye Nchi zisizo na Hadhi yoyote kwenye nyanja yoyote kidunia.
Kama ningekua Dr Tulia Ackson nisingegombea.
Kitu chenye heshima ambacho Mzungu hajaona hata kuchukua form hicho kitu ni ceremonial tu.
Walipoona ni Senegal na Malawi ikawakata Stimu.Ndiyo maana hata CCM hawashangili
Kumbe ilikuwa ni zamu ya Africa mashariki na katiWamemuacha ashindane na wakoma wenzake
Hata haina maana yoyoteWalipoona ni Senegal na Malawi ikawakata Stimu.
Ni kama uteuzi tuHata haina maana yoyote
πππππNimrcheka sanaKwa nchi alizoshindana nazo hata mzee Cheyo angeshinda
Ukiona wazungu(Marekani, Uk, France, Ujeruma n.k) hawahangaiki na hicho kitu ujue hakina maana yoyoteNi kama uteuzi tu
Ushindi ni ushindi tuAma kweli wazungu wana dharau sana.
Huku wakiita ni Umoja wa Mabunge ya Dunia lakini wagombea woote ni wafrica tu tena kutoka kwenye Nchi zisizo na Hadhi yoyote kwenye nyanja yoyote kidunia.
Kama ningekua Dr Tulia Ackson nisingegombea.
Kitu chenye heshima ambacho Mzungu hajaona hata kuchukua form hicho kitu ni ceremonial tu.
Ni cheo cha maigizoπππππNimrcheka sana
Ni vyeo vya kijinga, ila kwa Tulia kinampa faraja maana wangalau ndio uchaguzi anaoweza kushinda kihalali.Ama kweli wazungu wana dharau sana.
Huku wakiita ni Umoja wa Mabunge ya Dunia lakini wagombea woote ni wafrica tu tena kutoka kwenye Nchi zisizo na Hadhi yoyote kwenye nyanja yoyote kidunia.
Kama ningekua Dr Tulia Ackson nisingegombea.
Kitu chenye heshima ambacho Mzungu hajaona hata kuchukua form hicho kitu ni ceremonial tu.
Vyeo visivyo na tija. Watu wajinga tu ndio hugombea vyeo vya aina hiyo. Ni sawa na mwanafunzi kugombea kuwa class monitor au kaka/dada mkuu. Ni upuuzi mtupu.Ushindi ni ushindi tu
Wivu unakusumbua
Vinajenga CV kwa taarifa yakoVyeo visivyo na tija. Watu wajinga tu ndio hugombea vyeo vya aina hiyo. Ni sawa na mwanafunzi kugombea kuwa class monitor au kaka/dada mkuu. Ni upuuzi mtupu.
Kwa taarifa yako hicho ni cheo chenye faida kwake binafsi. Hata angekuwa katibu mkuu wa UN, kwani hiyo UN kwa siku hizi ina impact gani kwenye Dunia hii, sembuse hiyo sijui ICU? Inshort ni cheo kisicho na tija yoyote zaidi yake na familia yake.Vinajenga CV kwa taarifa yako
Raisi wa mabunge duniani hata kama halipwi hata mia anakuwa na uwezo hata wa kugombea ukatibu mkuu wa umoja wa mataifa sababu tayari ni International figure kimataifa kwenye taasisi kubwa
Tofauti na mtu kama Tundu Lisu kugombea cheo mwisho singida ubunge ikungi
HahaaaaNi vyeo vya kijinga, ila kwa Tulia kinampa faraja maana wangalau ndio uchaguzi anaoweza kushinda kuhalali.