Kwa taarifa yako ni hicho ni cheo chenye faida kwake binafsi. Hata angekuwa katibu mkuu wa UN, kwani hiyo UN kwa siku hizi ina impact gani kwenye Dunia hii, sembuse hiyo sijui ICU? Inshort NJ cheo kisicho na tija yoyote zaidi yake na familia yake.
Vyeo visivyo na tija. Watu wajinga tu ndio hugombea vyeo vya aina hiyo. Ni sawa na mwanafunzi kugombea kuwa class monitor au kaka/dada mkuu. Ni upuuzi mtupu.