Huu utakuwa mkutano wa injili maarufu kuliko yote Tanzania

Huu utakuwa mkutano wa injili maarufu kuliko yote Tanzania

Sijawahi kuona wahubiri wa kiislam wanaokuja hapa nchini kuhubiri wanaweka mabango hata chumbani mwao tu, hii dini hii mmh
 
Mwiguku hajaona fursa kuchukua kodi kwenye haya mabango amekalia tizo tu ya miamala?
 
Sijawahi kuona wahubiri wa kiislam wanaokuja hapa nchini kuhubiri wanaweka mabango hata chumbani mwao tu, hii dini hii mmh
mbona uwamnatembea na CD na tv na kuonyeasha watu picha mchana wa jua kaliii.
utasikia:, Billy Gate huyu ni devil mkubwa wa degree ya 31.
Pope:, huyo ndiyo baba lao la madevil worshiper duniani🤣🤣.
 
Is it a coincidence? Programmed by the Heavens or it was planned?

Kama ilikuwa planned basi jamaa alie plan atakuwa genius wa PR, Alastair arudi shule akasome.

Wameweka matangazo Dar nzima sasa hivi watanzania kwenye social networks wanafanya free publicity bila kujua kama wanasaidia kupromote event ya wahusika.

Habari za huu mkutano zimefika hadi Nigeria kwenye blog ya LindaIkeji.

Ni mkutano utakaofuatiliwa na mamilioni ya watu.

Mwanzoni nilikuwa nikipishana na haya mabandiko nilikuwa nachukulia poa tu kama mkutano wa kawaida. Lakini Sasa hivi naanza kuhisi huenda huyu mtumishi atakaye hudumu kwenye huu mkutano ana nguvu na kusudi la Mungu ndani yake.

Watakao pata bahati ya kuhudhuria mkutano wa huyu Mtumishi Kuna kitu fulani kutoka kwa Mungu watakipata

Big up Sana kwenu.

View attachment 1951362

Matangazo kila kona, utadhani jamaa anagombea Urais vile
 
Asante sana mkuu na wewe kwa kuendelea kupromote...nami nachukua fursa hii adhimu..kukuaribusha wewe na familia yako..marafiki na majirani zako. Huu si mkutano wa kukosa. Wale wahenga wezangu tulikua tunasoma katikati ya mji enzi hizo..pale Azania na jangwani ukisikia Reinard Bonke yuko mjina lazima tuturoke kipindi cha jion kuwahi...huyu ndio mtoto wake wa kiroho...aliemwachia huduma.si kama wahubiri wetu wengi bongo..wenye matangazo ya mafuta..keki za upako nk...huyu ni neno tu..pata maarifa..jenga imani..kisha muujiza unakuja bila mafuta wala mbwembwe.

Nashauri wale wenzangu wasipenda injili za magumashi..huku ndio kunatufaaa. Karibuni sanaaaaaaaaa!

Mwamba Daniel Kolenda ana miaka 40 halafu ana watoto wa5
 
Is it a coincidence? Programmed by the Heavens or it was planned?

Kama ilikuwa planned basi jamaa alie plan atakuwa genius wa PR, Alastair arudi shule akasome.

Wameweka matangazo Dar nzima sasa hivi watanzania kwenye social networks wanafanya free publicity bila kujua kama wanasaidia kupromote event ya wahusika.

Habari za huu mkutano zimefika hadi Nigeria kwenye blog ya LindaIkeji.

Ni mkutano utakaofuatiliwa na mamilioni ya watu.

Mwanzoni nilikuwa nikipishana na haya mabandiko nilikuwa nachukulia poa tu kama mkutano wa kawaida. Lakini Sasa hivi naanza kuhisi huenda huyu mtumishi atakaye hudumu kwenye huu mkutano ana nguvu na kusudi la Mungu ndani yake.

Watakao pata bahati ya kuhudhuria mkutano wa huyu Mtumishi Kuna kitu fulani kutoka kwa Mungu watakipata

Big up Sana kwenu.

View attachment 1951362
Katoka lini kwa Mungu?
 
Hafu hawo jamaa mimi nilijua kwenye mikutano yao wanachukua sadaka hawataki hata mia yenu wanasema sadaka zenu mpeleke makanisa mnayo sali siku ya jumapili.
Uko sawa kabisa, waliwahi kuja mkoani kwetu pia...
 
Back
Top Bottom