Huu utakuwa mkutano wa injili maarufu kuliko yote Tanzania

Sijawahi kuona wahubiri wa kiislam wanaokuja hapa nchini kuhubiri wanaweka mabango hata chumbani mwao tu, hii dini hii mmh
 
Mwiguku hajaona fursa kuchukua kodi kwenye haya mabango amekalia tizo tu ya miamala?
 
Sijawahi kuona wahubiri wa kiislam wanaokuja hapa nchini kuhubiri wanaweka mabango hata chumbani mwao tu, hii dini hii mmh
mbona uwamnatembea na CD na tv na kuonyeasha watu picha mchana wa jua kaliii.
utasikia:, Billy Gate huyu ni devil mkubwa wa degree ya 31.
Pope:, huyo ndiyo baba lao la madevil worshiper duniani🤣🤣.
 

Matangazo kila kona, utadhani jamaa anagombea Urais vile
 

Mwamba Daniel Kolenda ana miaka 40 halafu ana watoto wa5
 
Katoka lini kwa Mungu?
 
Hafu hawo jamaa mimi nilijua kwenye mikutano yao wanachukua sadaka hawataki hata mia yenu wanasema sadaka zenu mpeleke makanisa mnayo sali siku ya jumapili.
Uko sawa kabisa, waliwahi kuja mkoani kwetu pia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…