mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Familia zilizo nyingi kwa sasa mke, mume hulala kwenye kitanda kimoja 6* 6 , au 5*6 na mkiwa na mtoto mdogo naye atalala hapo. Lakini kwa wazee wa zamani hili lipo tofauti kidogo, babu yangu chumba chake kulikuwa na vitanda viwili. Chumba Cha wazazi wangu kulikuwa na vitanda viwili.
Kipi walikuwa wanakosa wazee hawa wa zamani ambao hata ndoa zao zimedumu kwa miaka mingi na walikuja kutenganishwa na kifo, kipi kubwa tunapata sasa kupitia kitanda kimoja, vipi kwa tunaotumia pombe unapolala la mwenzako kitanda kimoja anajisikiaje, unapataje mzuka wa kula tunda kwa mtu ambaye muda wote mnalala sehemu Moja, aisee tunajambiana tunakerana, nawaza kurudi kwenye huu mtindo wa kizamani ili kuboresha mahaba chumbani kwangu