Huu utaratibu wa kitanda kimoja mke na mume umetokea wapi?

usiige sana wazee watakushangaza , babu yangu na bibi yangu kila mtu analala chumba chake ila wanakutana seating room kupiga story muda wote wako pamoja wanamasihara balaa ukiwakuta muda wote wanacheka wapo at their mid 80s kumbe bhana hawa wahuni waliachana tangu 1980 hata kwenye familia wanajua wachache sana hata watoto wao hawajui labda wasunuliwe na wazee baba za wakubwa
sasa wewe waige babu zako kuweka vitanda viwili ukute role modal wako waliachana hata kabla hujazaliwa saiv ni room mates tu
 
Asili yake ni kwenye Ukristo kuwa mume.na mke wakioana wanakuwa mwili mmoja ndio maana wanalala kitanda kimoja

Hao wazee wa zamani walipenda kuoa mitala yaani wake wengi .Kwa hiyo mume anakuwa na kitanda chake na wake zake wengine kila mmoja na kitanda chake

Akihitaji ngono mawili aende kitanda cha mke au mke yeyote aje kitanda chake
Hao uliotoa mfano watakuwa walikuwa wapagani au waislamu Ndio wenye hizo tabia za vitanda tofauti kwa mke na mume sababu ya kuoa wake wengi
 
Bora hao wazee wako walikuwa na akili ...mimi nasema ni bora mume na mke wawe na vyumba tofauti ili kudumisha saikolojia ya penzi maana kulala chumba kimoja siku zote mnakinaiana mapema sana.
 
Hivi hii inawezekana kweli? Hawapigi kimasihara??
Wazee nao jau sio wa kuwaamini sana.!!
Kuna mzee mmoja walisema walitengana vyumba na mke wake, lakini ukiwaona huwezi kuamini.
 
We
VIjana wengi kwa sasa wamepanga mjini na wanavipato vya wastan hivyo wamepanga vyumba,kwa sasa kupata chumba cha kuaocodamate vitanda viwili utakipata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…