Huu utaratibu wa kitanda kimoja mke na mume umetokea wapi?

Mimi baada tu ya kupata mtoto wa kwanza nikapata na sababu ya kuwa na kitanda changu akija kwangu ni pipe tu akiwa kwenye anga zao za majuu hanisogelei kabisa akija basi na mliwadha badae ataenda tu nikilala. Kuna raha yake asee.

Shida ya wengi humu jamvini vyumba vyao kama chooni yaani hakigawanyiki.
 
Naona yamekukuta😁😁😁
 
ila mizee ya zamani ilikuwa mishababi hasa. Mke anapelekewa taarifa tu kuwa kuna mke mwingine.

Siku hizi wanawake wanajifanya wao ndio vidume kwa kumiliki michepuko mingi kuliko hata waume zao.
 
Hata Mfalme na Malikia wa Uingereza hawalali kitanda kimoja. Tena wao wameenda mbali kidogo, hawa lali chumba kimoja. King au Queen akimuhitaji mwenzake, King anaenda kwenye chumba cha Queen ili 'Actualization of marriage or consumption to take place'
 
Mwingereza wa Keisho huyo umeyajuaje hayo.
 
Zamani walikuwa hawajui kujipamba zaidi ya kunuka mijasho; kwa nyakati hizi za vipodozi, anakuwa ananukia waridi, unatamani muda wote awe mikononi mwako.
Kwa hiyo, kilichokuwa kinawatenganisha ni harufu.​
 
Mtu ukimjua kiundani na kuzoeana heshima hupungua. Ile mysteriousness inakuwa haipo tena. Hao wazee walikuwa wanafanya hivyo ili kukeep hiyo mysteriousness, hali ya kutokuwa na uhakika. Ili wanawake wasiwazoee na kuwagundua moja kwa moja na kukeep heshima. That's why wanawake wa zamani walikuwa na bado wanaheshimu sana wanaume.

Forget the past. Ukisika neno mke wangu zama hizi, basi lina maana yake. Mke wangu basi nitalala naye chumba kimoja, atavaa nguo moja bila kitu ili kuruhusu body contact at a full capacity na atakumbatiwa mpaka asubuhi. Hili baridi sio mchezo. And it's for the best to keep that pussybag at a close range as of to avoid any unethical use of one's hands, hence as to maintain cultural prosperity as a nation.

Hakuna kitu kizuri kama kukumbatia usiku aisee. Hao wazee walikosa mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…