Huu Utawala, Hakuna kitu utafanikisha

Huu Utawala, Hakuna kitu utafanikisha

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Hakuna hata project moja watakayoimaliza achilia mbali hata walizozikuta ambazo zilikwisha anza.

Ukiondoa blah blah hakuna kitu ambacho kitafanyika, mpaka sasa hivi kila kitu ni failure, wameahidi kuwaongeza Wafanyakazi Mishahara 23% kwa mbwembwe nyingi na kejeli sijui walifikili Julai haitofika, imefika kimya wanaishia kupambana na mtu aliyekwisha fariki kana kwamba yeye ndiye aliyetoa ahadi.

Haya sasa hivi wamerukia tazara, kukamilisha kipande cha Dar-Moro cha reli kimewashinda.

Mimi ningewashauri badala ya kushinda usiku kucha wakipokea n simu, labda wange work smart.

Bei ya mafuta inapanda kila siku, maisha yanazidi kuwa magumu, no solutions to problems, nothing works, hata sensa yenyewe pia malalamiko na vilio kila mahali.

Work smart, …
 
Huna macho?
 
Watu wanaongea kwenye mitandao huko Vijijini sie ndio tunajua Serikali inafanya nini. Nyie mliozaliwa na kukulia Dar hamuwezi kuona maendeleo yanayotokea kwa Sasa. Mmezaliwa kwenye Umeme, maji na hospital ya muhimbili ikiwepo
 
Back
Top Bottom