Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Hakuna hata project moja watakayoimaliza achilia mbali hata walizozikuta ambazo zilikwisha anza.
Ukiondoa blah blah hakuna kitu ambacho kitafanyika, mpaka sasa hivi kila kitu ni failure, wameahidi kuwaongeza Wafanyakazi Mishahara 23% kwa mbwembwe nyingi na kejeli sijui walifikili Julai haitofika, imefika kimya wanaishia kupambana na mtu aliyekwisha fariki kana kwamba yeye ndiye aliyetoa ahadi.
Haya sasa hivi wamerukia tazara, kukamilisha kipande cha Dar-Moro cha reli kimewashinda.
Mimi ningewashauri badala ya kushinda usiku kucha wakipokea n simu, labda wange work smart.
Bei ya mafuta inapanda kila siku, maisha yanazidi kuwa magumu, no solutions to problems, nothing works, hata sensa yenyewe pia malalamiko na vilio kila mahali.
Work smart, …