Huu uvaaji wa Millard Ayo kwenye msiba wa Gardner umenishangaza sana

Huu uvaaji wa Millard Ayo kwenye msiba wa Gardner umenishangaza sana

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka Wanajamvi!

Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner G Habash huko Rombo.

Mara ya kwanza nilipoiona hiyo picha nilidhani Millard ni mgambo mlinzi wa Suma JKT yupo hapo mahsus kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwenye msiba kumbe ni swagger za mtoko tu msibani.

Kweli Gardner kaagwa in style.

R.I.P Gardner G Habash.

FB_IMG_1713901188530.jpg
 
Acheni kuishi kwa mazoea. Kwani ameenda uchi? angevaa suti Gardner angefufuka?

Hakuna sehemu iliyoandikwa kuwa ni lazima uvae mavazi ya aina fulani msibani ndio ionekane una uchungu sana.

Harmonize alivaa joho kama sultan aliefilisika, lakini maisha yaliendelea.
 
Ndio hakuna sehemu imeandikwa ila common sense tu.
 
Mzuka Wanajamvi!

Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner G Habash huko Rombo.

Mara ya kwanza nilipoiona iyo picha nilidhani Millard ni mgambo mlinzi wa Suma JKT yupo hapo mahsus kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwenye msiba kumbe ni swagger za mtoko tu msibani.

Kweli Gardner kaagawa in style.

R.I.P Gardner G Habash.

View attachment 2972575
Haya mkuu
 
Back
Top Bottom