Huu uvaaji wa Millard Ayo kwenye msiba wa Gardner umenishangaza sana

Mzuka Wanajamvi!

Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner G Habash huko Rombo.

Mara ya kwanza nilipoiona iyo picha nilidhani Millard ni mgambo mlinzi wa Suma JKT yupo hapo mahsus kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwenye msiba kumbe ni swagger za mtoko tu msibani.

Kweli Gardner kaagawa in style.

R.I.P Gardner G Habash.

View attachment 2972575
Mvua matope kazi kazi boot la kazi suruali la kazi.
 
Mzuka Wanajamvi!

Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner G Habash huko Rombo.

Mara ya kwanza nilipoiona iyo picha nilidhani Millard ni mgambo mlinzi wa Suma JKT yupo hapo mahsus kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwenye msiba kumbe ni swagger za mtoko tu msibani.

Kweli Gardner kaagawa in style.

R.I.P Gardner G Habash.

View attachment 2972575
Umetulia kwenye sofa nyumbani kwa dadako bando lenyewe umepewa na mume wa dada yako unamjadili Millard Ayo, fanya uende ukamchukue Junior shuleni
 
Yani kabisa hupo serious hujaona maajabu. He is not a teenager. Ilitakiwa atinge suti.
Suti ni kwa wale wanafika msibani wanakaa kama wageni. Yeye si ajabu alikuwa anachakarika huku na kule kazi kazi. Bila shaka angevaa suti bado ungesema jamaa anaenda msibani kama vile kaalikwa bungeni.
 
Hali ya hewa ya dar kwa sasa yupo sahihi,pia pale pamoja na kuaga anakuwa na pilika za kupata matukio kutuhabarisha.
 
Awe na cash hiyo harafu aendelee kufanya kazi clouds
Stratergy... Clouds inamfanya awe relevant kwa kumsikia. Utamsikia clouds ikikumbushe app yake.... Kuna watu wanafanya kazi si kwa sababu ya mshahara fulani but kazi hiyo inawafanya wapate michongo mingine. Sina hakika kama ana pesa hiyo, ila pia siwezi kushangaa kama anayo maana mambo ya monetization mtandaoni yana ela kinoma.
 
Mzuka Wanajamvi!

Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner G Habash huko Rombo.

Mara ya kwanza nilipoiona iyo picha nilidhani Millard ni mgambo mlinzi wa Suma JKT yupo hapo mahsus kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwenye msiba kumbe ni swagger za mtoko tu msibani.

Kweli Gardner kaagawa in style.

R.I.P Gardner G Habash.

View attachment 2972575
Consider hali ya hewa, nature ya shughili na majukumu aliopangiwa/jipangia
 
Kwa iyo ata kama ni migambo ndio wavae vizuri hivyo hivi mnajua migambo ya TZ nyie [emoji23][emoji23]...kwanza hiyo outfit ya kawaida tu
 
Mzuka Wanajamvi!

Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner G Habash huko Rombo.

Mara ya kwanza nilipoiona iyo picha nilidhani Millard ni mgambo mlinzi wa Suma JKT yupo hapo mahsus kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwenye msiba kumbe ni swagger za mtoko tu msibani.

Kweli Gardner kaagawa in style.

R.I.P Gardner G Habash.

View attachment 2972575
Kumbe Ayo ni bilionea?!!!!🤔
 
Hiyo ni kamati ya ufundi, hao ndo waliotangulia hapo kuweka mambo sawa, ulitaka avae nini?
 
Mzuka Wanajamvi!

Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner G Habash huko Rombo.

Mara ya kwanza nilipoiona iyo picha nilidhani Millard ni mgambo mlinzi wa Suma JKT yupo hapo mahsus kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwenye msiba kumbe ni swagger za mtoko tu msibani.

Kweli Gardner kaagawa in style.

R.I.P Gardner G Habash.

View attachment 2972575
Bado unaosha vyombo Denmark?
 
YAAN KAMA UMECHOKOREANA NA MKEO WE SIKU YA MSIBA WA MSAANII NENDA PALE .....UTACHEKA UFEE
 
Back
Top Bottom