Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Huu msiba ulitawaliwa na mbwembwe za mastaa uchwara.Mzuka Wanajamvi!
Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner G Habash huko Rombo.
Mara ya kwanza nilipoiona iyo picha nilidhani Millard ni mgambo mlinzi wa Suma JKT yupo hapo mahsus kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwenye msiba kumbe ni swagger za mtoko tu msibani.
Kweli Gardner kaagawa in style.
R.I.P Gardner G Habash.
View attachment 2972575
Hata hivyo achana na maisha ya watu kenge wewe