Mkuu ana bilion 10 madaf na 4 million usd kama sijakosea. Source Google.Bilionare mstaarabu hiv anaweza kuwa na b ngap
Tusilaumu sana labda masharti ya mganga.Kijana tajiri lakini anavaa hovyo, utadhani anakwenda kwa masela kupiga stori za kijiweni.
Yani kabisa hupo serious hujaona maajabu. He is not a teenager. Ilitakiwa atinge suti.Sijaona maajabu hapo.
Ndio hakuna sehemu imeandikwa ila common sense tu.Acheni kuishi kwa mazoea. Kwani ameenda uchi? angevaa suti Gardner angefufuka?
Hakuna sehemu iliyoandikwa kuwa ni lazima uvae mavazi ya aina fulani msibani ndio ionekane una uchungu sana.
Harmonize alivaa joho kama sultan aliefilisika, lakini maisha yaliendelea.
Haya mkuuMzuka Wanajamvi!
Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner G Habash huko Rombo.
Mara ya kwanza nilipoiona iyo picha nilidhani Millard ni mgambo mlinzi wa Suma JKT yupo hapo mahsus kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kwenye msiba kumbe ni swagger za mtoko tu msibani.
Kweli Gardner kaagawa in style.
R.I.P Gardner G Habash.
View attachment 2972575