Hapa sawa..ila mshara laki 6, una mke ndani na mtoto hiyo 20 % huwezi lah sivuo watu walale njaa ndani ya nyumbaMkuu mimi naweza zaidi ya 20%,kiufupe hela nayotunza ni nyingi kuliko ninayotumia,lakini imewezekana sababu sijawa na majukumu mengi,Nawaza siku ambayo majukumu yatapiga hodi.
Sasa hapo sii kama laki ilishapote umebaki na laki mbili, bado sijapata totoz ya kuburudika nayo one a month. Aisee ata kama ni sacrifice hii kibokoPay yourself first ie 300,000 Tenga 60,000 invest then inayobaki fanyia mambo yako ya maisha. Life needs sucrifice
Kondoo mbuzi wanavumilia mazingira, rahisi kuwafuga na wanalika sanaKwanini kondoo na mbuzi boss? Kwanini sio Ng'ombe,Nguruwe kuku n.k?
Arusha,Dar na miji yenye wageni wengiUhakika wa soko kwa hizi Air bnb ukoje mkuu?
Ukifanya kitu kam hiyo mkoan mara hakikisha una waangaliz wa mifugo wasopungua 3 na gobole juu.Hii ishu ya ufugaji niliwaza kuifanya kwa large scale,Nitafute eneo kubwa huku mkoani Mara,nijenge mazizi na kijumba cha mchungaji,alafu niweke ngΒ΄ombe,mbuzi na kondoo. Ila ishu ya usalama wa hiyo mifugo ndio ilinipa wasiwasi maana inabidi ufuge eneo ambalo halina watu wengi,porini huko kwenye majani mengi.
Ng"ombe ni mtihani sana kwenye mikoa yenye wafugaji asili, usalama hakuna, usije ukarudi mjini na magonjwa yasiyo ya kuambukiza.Ukifanya kitu kam hiyo mkoan mara hakikisha una waangaliz wa mifugo wasopungua 3 na gobole juu.
Kweli mkuu,lakini kuna namna unaweza kuwaza nje ya boksi ukawa na kipato nje ya hiyo laki 6. Hapa inahitajika akili na kuelewa mifumo ya pesa imekaaje...Chalamila anasema pesa inategwa.Hapa sawa..ila mshara laki 6, una mke ndani na mtoto hiyo 20 % huwezi lah sivuo watu walale njaa ndani ya nyumba
Mkuu Uzinzi unakula hela sana aisee.Sasa hapo sii kama laki ilishapote umebaki na laki mbili, bado sijapata totoz ya kuburudika nayo one a month. Aisee ata kama ni sacrifice hii kiboko
Risk ya kupoteza hela ni kubwa sana,unajua kwanini kampuni za Kubet zinaongezeka kila leo? Sababu wanapiga hela za walala hoi wenye ndoto.Ni ku-bet tu
Sasa yaani ata mara moja kwa mwezi nisigegede jamani. Kha hayo maisha ya nyeto kila leo aii balaaaMkuu Uzinzi unakula hela sana aisee.
Hyo hesabu n ya pesa kubw mkuu hapo unazungumzia 1mill ukitoa hyo 200 so kes sas umesha msimamisha mtanzania anae lipwa laki 3 atoe asilimia 20 bado yupo nyumba ya kupanga plus naul za kazin na chakula home......sio kuwa watanzania awawez wekeza ila vipato n vdogo kwenye nchi inayo endelea kama hii. Uwekezaji utakuwa n mwing kwa watumishi endapo salar scale zikifanyiwa marekebisho mazuri.Ni ngumu kuweka 20% ila ni rahisi sana ukiamua. Mi ndo nimejaribu inawezekana . We piga hesabu mshahara wako ni ngapi, kabla ujatoa kulipa madeni kitu cha kwanza ile 20% iwe umesha iweka kando.
Kwa lugha nyepesi kama unalipwa 1000000 unatoa 200000 inayobaki ndo yako tena uandike akilin mwako kwamba mwisho wa mwezi naingiza 800000
πππ Achana n wana siasa kina chalamila, yy apo ana bajet ya chakula,usafir, na vkolokolo kibao inayo lipwa na serikali ko n eazy ku tenga hyo pesa anayo sema,,,Kweli mkuu,lakini kuna namna unaweza kuwaza nje ya boksi ukawa na kipato nje ya hiyo laki 6. Hapa inahitajika akili na kuelewa mifumo ya pesa imekaaje...Chalamila anasema pesa inategwa.
Na hiki ndio huwa kinatufelisha sana mkuu "kufanya maamuzi ya kujinyima ili usave angalau kiasi kadhaa 10 to 20% "..kwa muda kadhaa kutokana na malengo yako.Mkuu kujilipa inabidi uwe na kipato cha ziada,wafanyakazi wengi mshahara hautoshi hata mahitaji muhimu,hela ya kujilipa na kusave unatoa wapi?
Make saving as a bill like other billsMkuu kujilipa inabidi uwe na kipato cha ziada,wafanyakazi wengi mshahara hautoshi hata mahitaji muhimu,hela ya kujilipa na kusave unatoa wapi?