Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya kujadili uwekezaji ambao ni rafiki kwa Waajiriwa

Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya kujadili uwekezaji ambao ni rafiki kwa Waajiriwa

Mkuu kujilipa inabidi uwe na kipato cha ziada,wafanyakazi wengi mshahara hautoshi hata mahitaji muhimu,hela ya kujilipa na kusave unatoa wapi?
Kwanini hautoshi? Wafanyakazi wakipata mshahara zaidi wanaongeza na matumizi zaidi. Yako unayoiona ndogo kuna watu wanaishi kwa nusu ya hiyo au hata robo yake na maisha yanaendelea.
 
Maeneo yapo,ila risk ni kubwa kupoteza hata huo mtaji wako ni dakika sifuri. Bonds na UTT return ni ndogo lakini ni zero Risk..
Hivi hao UTT hawajawahi kuwa na liquidity issues? Nayo ni risk.
 
Umenikumbusha mbali sana,
Huko nyuma JF tuliwahi kuwa na Chai day, maalumu kwa ajili ya kuongea mambo ya uwekezaji. Siku nzima hakuna kunywa ulabu kwenye mkutano, tuliwahi fanyia mikutano Lunch Time Hotel, Law school of Tanganyika, Luther House, those good days sijui zimepotelea wapi.
Zirudishe Malila. Kulikuwa na harakati za kuanzisha JF saccoss by members hela hadi zikarudishwa. Naona wabongo ni watu wa kufanya vitu vyao wenyewe wenyewe hizi collabo zinatushinda😊
 
Biashara nimeshajaribu tatu na zote zilinishinda,ni hela nilipoteza. Kwenye viwanja nakubaliana na wewe,lakini kwenye majengo nadhani ni mada fikirishi bado..Unaweka milion 60 yako kwenye nyumba,je ni lini utaona faida ya hiyo hela ulowekeza?
Hizo biashara za kutaka returns za chapchap ndio mwisho wa siku unapoteza hadi mtaji. Kuajiriwa na kufanya biashara kwa mazingira ya sasa kwakweli ni magumu. Utajikuta unawatengenezea watu ulaji tu kisa umekosa muda wa kusimamia vyema.
 
Kweli kabisa,bado unafungua biashara Morogoro then unapata uhamisho kwenda Pwani...Huku nyuma biashara yako unamwachia nani?
 
Kwanini hautoshi? Wafanyakazi wakipata mshahara zaidi wanaongeza na matumizi zaidi. Yako unayoiona ndogo kuna watu wanaishi kwa nusu ya hiyo au hata robo yake na maisha yanaendelea.
Kweli boss,tumeshajadili huko nyuma,Mshahara hakuna unaotosha ni kubana matumizi yako,pia tumejadili saving iwe sehemu ya bills unazotakiwa kulipa mwezi husika.
 
Mods wa JF bwana mnapenda sana kujifanya wajuaji,kwa tabia zenu za karibuni nilijua mtavamia huu uzi pia,sasa mmebadili title yangu ilikuwa na shida gani? Nyie wenyewe si mmeajiriwa mbona hamkuandika uzi wenu?
title ilikuwaje?
wanakera, wanajidai wapo kichwani kwa kila mtu. mtu alichoandika ndilo wazo lake, badala ya kuedit title za watu nao c waandike hicho wanachoona kinafaa!
 
1000192912.jpg
 
Back
Top Bottom