Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya kujadili uwekezaji ambao ni rafiki kwa Waajiriwa

Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya kujadili uwekezaji ambao ni rafiki kwa Waajiriwa

Kuna mtu ana idea na uwekezaji katika vito vya thamani? Je inawezekana kutunza dhahabu bank? je upandaji bei wa vito vya thamani upoje?
 
Nimesoma comments zote hamna hata aliyeongelea kabusiness ka boda boda. Kwahiyo mimi hii pesa niile tu 😁😁
Bodaboda sio uwekezaji,ni Biashara ina mzunguko na inahitaji usimamizi. Mie binafsi hii biashara nimeona ina faida kiduchu,pia risk ya pikipiki kuibiwa,kupata hitilafu,service,dereva kukosa hesabu au kutokuwa mwaminifu ni kubwa. Naona wanaofaidika ni wale wanaoendesha wenyewe.
 
Boda wangu ananiambia nimnunulie pikipiki ya mkataba. Sijashindwa, ila masharti yangu ananiambia ni magumu, na mm yake namwambia biashara kichaa hiyo siifanyi.

Inalipa kama angekubali masharti yangu. Au hivyo ukiendesha mwenyewe,,
Nina route nyingi za boda mimi kwake kukosa hesabu itakuwa nadra sana.
 
Zirudishe Malila. Kulikuwa na harakati za kuanzisha JF saccoss by members hela hadi zikarudishwa. Naona wabongo ni watu wa kufanya vitu vyao wenyewe wenyewe hizi collabo zinatushinda😊
Collabo zinatushinda sana Bongo, tulipiga collabo moja kubwa, inachechemea bado. Naogopa sana collabo na Wabongo, janja janja, uvivu na kujivuta. Bora ukomae kivyako taratibu unafika.
 
Kuna mtu anasubiriwa kugeuzwa kuwa fursa hapa.
Wala ndugu cna biashara yoyote nataka kufanya na mtu ni just kuwaonyesha watu wazo mbadala tu. Sisi wengine kwenye kuzunguka kwetu tunakutana na Mambo mengi hatuna roho ya kwanini. Hata hivyo nishaufunga mjadala.
 
Boda wangu ananiambia nimnunulie pikipiki ya mkataba. Sijashindwa, ila masharti yangu ananiambia ni magumu, na mm yake namwambia biashara kichaa hiyo siifanyi.

Inalipa kama angekubali masharti yangu. Au hivyo ukiendesha mwenyewe,,
Nina route nyingi za boda mimi kwake kukosa hesabu itakuwa nadra sana.
Mie biashara ya boda boda kiujumla huwa naona ni kichaa.
Huwa wanasema ukitaka ikulipe usinunue pikipiki mpya,nunua kuu kuu alafu ifanyie marekebisho.
 
Wala ndugu cna biashara yoyote nataka kufanya na mtu ni just kuwaonyesha watu wazo mbadala tu. Sisi wengine kwenye kuzunguka kwetu tunakutana na Mambo mengi hatuna roho ya kwanini. Hata hivyo nishaufunga mjadala.
Karibu boss tuendelee kuchangia
 
Collabo zinatushinda sana Bongo, tulipiga collabo moja kubwa, inachechemea bado. Naogopa sana collabo na Wabongo, janja janja, uvivu na kujivuta. Bora ukomae kivyako taratibu unafika.
Nina jamaa yangu fulani kama huwa ananiambia ukweli wameungana kikundi wamefungua bank yao ya mtandaoni. Wanadeposit hela na kukopeshana,nilichopenda kwao wanakopeshana mpaka milioni 20 kwa riba nafuu sana.
 
U
Hii ishu ya ufugaji niliwaza kuifanya kwa large scale,Nitafute eneo kubwa huku mkoani Mara,nijenge mazizi na kijumba cha mchungaji,alafu niweke ng´ombe,mbuzi na kondoo. Ila ishu ya usalama wa hiyo mifugo ndio ilinipa wasiwasi maana inabidi ufuge eneo ambalo halina watu wengi,porini huko kwenye majani mengi.
Ufugaji unataka muda
 
Pharmacy,Gas na uwakala wa fedha.
Mimi ni mtumishi pia
Nina biashara 4, moja wapo ni Gas na uwakala wa fedha.

Mbona naona mambo yanaenda japo mtaji ndio changamoto??

Maana nahitaji biashara ziwe kubwaa ili niachane na ajira niwe 24 hrs enterpreneur, sasa mtaji banaaa CHANGAMOTOOO

Sijui niibe kama mafisadi mil 200 papp halafu unapita hivi...!!!

Mtaji changamoto aiseee.

#YNWA
 
Back
Top Bottom