Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya kujadili uwekezaji ambao ni rafiki kwa Waajiriwa

Mimi ni mtumishi pia
Nina biashara 4, moja wapo ni Gas na uwakala wa fedha.

Mbona naona mambo yanaenda japo mtaji ndio changamoto??

Maana nahitaji biashara ziwe kubwaa ili niachane na ajira niwe 24 hrs enterpreneur, sasa mtaji banaaa CHANGAMOTOOO

Sijui niibe kama mafisadi mil 200 papp halafu unapita hivi...!!!

Mtaji changamoto aiseee.

#YNWA
Tunatofautiana locations na usimamizi kaka,why usikope hela ukaboost biashara zako? Usikope bank,angalia Vicoba vyenye ukwasi jiunge huko.
 
Fact 1.
1. Mwaka fulani nilipata(ga) changamoto kubwaa ya familia kubwaa sanaaa, na ukicheki shida aliipata dada angu na sisi hatunaga wazazi tokea kuzaliwa huko, hivyo mimi ndio nilikuwa kimbilio lake, ilinibidi nikope mil kadhaa kumuokoa, nikabaki na 1/3 ya mshahara na mpaka leo dada angu yupo happy matatizo yaliisha.

2. Mwaka unaofata si waseng(e) Loan board wakanidaka ""Mdaiwa sugu mama eeee"" dah wanachukua chao mpaka leo...!!!

Kwahiyo inabaki 120k.

Fact 2.
Mimi bana ni mtu ambaye siamini kwenye kuweka hela ikalala
Mambo ya UTT, FAIDA Fund nilijaribu yakanishinda nikatoa hela ikaingia kwenye mzunguko.

Nyumba sijengi na sihitaji (kwangu nyumba ya kuishi ni kupoteza pesa).

Sasa ni bank gani inayokopesha bila dhamana?

CONCLUSION
Nilichoamua, Yaani hapa nikiona tu tobo la mil 100 na ziadi, Haki ya Mungu napita nayo..!!!

Nina mshkaji wangu mmoja alipita na Mil 30, PCCB wakamdaka.
Mwaka Jana kesi imekuwa concluded hana hatia hivyo KARUDI KAZINI FRESH na wakati wa kesi inaendelea alikuwa kazini sema alikuwa amebadilishiwa kituo.

Hivyo Mil 30 kapita nazo, mshahara kaendelea kupokea na hatia hana..!!

Kuna mwengine mdada Mil 20..!!!
Nae mahakama ilisema ""HANA KESI YA KUJIBU""

Huwa wananiwazisha hawa wajuba...!!!

Umasikini ni laana, ngoja tusome ramani...!!!

Hizo hela wanazo pita nazo ni za makusanyo ya pos? Maana siyo kila mtumishi anayo access ya kupita na hela kwenye eneo lake la kazi. Mfano mwalimu atapata wap access ya kupita na mil 20 labda auze majengo ya shule.
 
We elewa WALIPITA NAZO.

Ngoja kwanza ipite bahati, wanasema bahati ni fursa ilikutana na maandalizi.
Hapa silaha zishaandaliwa, inasubiriwa vita tuu..!!!

Sheria za nchi hii lope hole ni nyingii, IKO SIKU.
Ndio itakuwa mwisho wa Ajira za CCM.

Nataka kuwa Tajiri na biashara ndio kimbilio sahihi..!!!

NB.
Usiibe bila kujua SHERIA.
Usiache ushahidi..!!

Umeghair kwenda kusoma ughaibuni mkuu.
 
Kuna watu wana hisa kwenye kampuni za kimataifa kama Amazon,Google,Apple Cocacola etc,natamani sana kujua uwekezaji huko upoje,Kuna Daktari bingwa mmoja aliniambia yeye alinunua hisa za kampuni ya mafuta wakati anasoma Russia na gawio alikuwa anapata mpaka vita ilipokuja kuharibu mambo.
Hata mimi natamani kujua zaidi. Mwenye uelewa wa hili jambo atusaidie ufahamu
 
Fact 1.
1. Mwaka fulani nilipata(ga) changamoto kubwaa ya familia kubwaa sanaaa, na ukicheki shida aliipata dada angu na sisi hatunaga wazazi tokea kuzaliwa huko, hivyo mimi ndio nilikuwa kimbilio lake, ilinibidi nikope mil kadhaa kumuokoa, nikabaki na 1/3 ya mshahara na mpaka leo dada angu yupo happy matatizo yaliisha.

2. Mwaka unaofata si waseng(e) Loan board wakanidaka ""Mdaiwa sugu mama eeee"" dah wanachukua chao mpaka leo...!!!

Kwahiyo inabaki 120k.

Fact 2.
Mimi bana ni mtu ambaye siamini kwenye kuweka hela ikalala
Mambo ya UTT, FAIDA Fund nilijaribu yakanishinda nikatoa hela ikaingia kwenye mzunguko.

Nyumba sijengi na sihitaji (kwangu nyumba ya kuishi ni kupoteza pesa).

Sasa ni bank gani inayokopesha bila dhamana?

CONCLUSION
Nilichoamua, Yaani hapa nikiona tu tobo la mil 100 na ziadi, Haki ya Mungu napita nayo..!!!

Nina mshkaji wangu mmoja alipita na Mil 30, PCCB wakamdaka.
Mwaka Jana kesi imekuwa concluded hana hatia hivyo KARUDI KAZINI FRESH na wakati wa kesi inaendelea alikuwa kazini sema alikuwa amebadilishiwa kituo.

Hivyo Mil 30 kapita nazo, mshahara kaendelea kupokea na hatia hana..!!

Kuna mwengine mdada Mil 20..!!!
Nae mahakama ilisema ""HANA KESI YA KUJIBU""

Huwa wananiwazisha hawa wajuba...!!!

Umasikini ni laana, ngoja tusome ramani...!!!

#YNWA
Na siku utakayo jaribu wewe my friend kwishaaaa 😂😂
 
Mie biashara ya boda boda kiujumla huwa naona ni kichaa.
Huwa wanasema ukitaka ikulipe usinunue pikipiki mpya,nunua kuu kuu alafu ifanyie marekebisho.
Kwa hesabu zangu kwa miezi 15 ingerudisha pesa ya pkpk 3.5M, na ziada ya 1,960,000
 
Masters inatosha
Ngoja niendelee kutafuta hela.

Kwangu kuwa tajiri ni LAZIMA.
Msoto wa uyatima ulinifundisha mengi.

PESA ndio KILA KITU.

""If you think money cant buy happiness, go and ask the homeless and Jobless""

#YNWA

Mhubiri 10:19
Karam hufanywa kwa ajili ya kicheko, na divai huyafuraisha maisha; na fedha huleta jawabu la mambo yote
 
Haya mambo magumu sana, walioko kwenye ajira, wanatamani wafanye biashara. Baadhi ya wafanyabiashara nao Kuna muda wanatamani waajiriwe. Hii yote ni katika kutafuta namna ya kuongeza kipato na kuukimbia umasikini.

“Hekima ni bora kuliko nguvu, lakini hekima ya mtu masikini hudharauliwa, na maneno yake hayasikilizwi.” Mhubiri 9:16
 
Hesabu zake miezi 15 ni 4,550,000
Pkpk 3.5M baki 1,050,000
Hii kwangu haifiki akilini
Elfu sabini kwa mwezi...hii hesabu sio mbaya kama itaenda kama ilivyo kwenye makubaliano,UTT ukiweka hiyo 3.5m unapata elfu 35k kwa mwezi na usalama wa pesa yako ni asilimia mia.
 
Back
Top Bottom