Tunatofautiana locations na usimamizi kaka,why usikope hela ukaboost biashara zako? Usikope bank,angalia Vicoba vyenye ukwasi jiunge huko.
Fact 1.
1. Mwaka fulani nilipata(ga) changamoto kubwaa ya familia kubwaa sanaaa, na ukicheki shida aliipata dada angu na sisi hatunaga wazazi tokea kuzaliwa huko, hivyo mimi ndio nilikuwa kimbilio lake, ilinibidi nikope mil kadhaa kumuokoa, nikabaki na 1/3 ya mshahara na mpaka leo dada angu yupo happy matatizo yaliisha.
2. Mwaka unaofata si waseng(e) Loan board wakanidaka ""Mdaiwa sugu mama eeee"" dah wanachukua chao mpaka leo...!!!
Kwahiyo inabaki 120k.
Fact 2.
Mimi bana ni mtu ambaye siamini kwenye kuweka hela ikalala
Mambo ya UTT, FAIDA Fund nilijaribu yakanishinda nikatoa hela ikaingia kwenye mzunguko.
Nyumba sijengi na sihitaji (kwangu nyumba ya kuishi ni kupoteza pesa).
Sasa ni bank gani inayokopesha bila dhamana?
CONCLUSION
Nilichoamua, Yaani hapa nikiona tu tobo la mil 100 na ziadi, Haki ya Mungu napita nayo..!!!
Nina mshkaji wangu mmoja alipita na Mil 30, PCCB wakamdaka.
Mwaka Jana kesi imekuwa concluded hana hatia hivyo KARUDI KAZINI FRESH na wakati wa kesi inaendelea alikuwa kazini sema alikuwa amebadilishiwa kituo.
Hivyo Mil 30 kapita nazo, mshahara kaendelea kupokea na hatia hana..!!
Kuna mwengine mdada Mil 20..!!!
Nae mahakama ilisema ""HANA KESI YA KUJIBU""
Huwa wananiwazisha hawa wajuba...!!!
Umasikini ni laana, ngoja tusome ramani...!!!
#YNWA