Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya kujadili uwekezaji ambao ni rafiki kwa Waajiriwa

Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya kujadili uwekezaji ambao ni rafiki kwa Waajiriwa

Hii ishu ya ufugaji niliwaza kuifanya kwa large scale,Nitafute eneo kubwa huku mkoani Mara,nijenge mazizi na kijumba cha mchungaji,alafu niweke ng´ombe,mbuzi na kondoo. Ila ishu ya usalama wa hiyo mifugo ndio ilinipa wasiwasi maana inabidi ufuge eneo ambalo halina watu wengi,porini huko kwenye majani mengi.
Ukifanya kitu kam hiyo mkoan mara hakikisha una waangaliz wa mifugo wasopungua 3 na gobole juu.
 
Hapa sawa..ila mshara laki 6, una mke ndani na mtoto hiyo 20 % huwezi lah sivuo watu walale njaa ndani ya nyumba
Kweli mkuu,lakini kuna namna unaweza kuwaza nje ya boksi ukawa na kipato nje ya hiyo laki 6. Hapa inahitajika akili na kuelewa mifumo ya pesa imekaaje...Chalamila anasema pesa inategwa.
 
Ni ngumu kuweka 20% ila ni rahisi sana ukiamua. Mi ndo nimejaribu inawezekana . We piga hesabu mshahara wako ni ngapi, kabla ujatoa kulipa madeni kitu cha kwanza ile 20% iwe umesha iweka kando.
Kwa lugha nyepesi kama unalipwa 1000000 unatoa 200000 inayobaki ndo yako tena uandike akilin mwako kwamba mwisho wa mwezi naingiza 800000
Hyo hesabu n ya pesa kubw mkuu hapo unazungumzia 1mill ukitoa hyo 200 so kes sas umesha msimamisha mtanzania anae lipwa laki 3 atoe asilimia 20 bado yupo nyumba ya kupanga plus naul za kazin na chakula home......sio kuwa watanzania awawez wekeza ila vipato n vdogo kwenye nchi inayo endelea kama hii. Uwekezaji utakuwa n mwing kwa watumishi endapo salar scale zikifanyiwa marekebisho mazuri.
 
Kweli mkuu,lakini kuna namna unaweza kuwaza nje ya boksi ukawa na kipato nje ya hiyo laki 6. Hapa inahitajika akili na kuelewa mifumo ya pesa imekaaje...Chalamila anasema pesa inategwa.
😂😂😂 Achana n wana siasa kina chalamila, yy apo ana bajet ya chakula,usafir, na vkolokolo kibao inayo lipwa na serikali ko n eazy ku tenga hyo pesa anayo sema,,,

Ukitaka kujua uwekezaj n mgumu nenda tu mfate mteuliwa yyote wa siasa mwambie aache kazi hyo aingie kwa uwekezaj binafs wanapauka vbya na ndo maana wanang'ang'ania hzo madaraka ili waendeshe maisha na businss zao bila tabu
 
Mkuu kujilipa inabidi uwe na kipato cha ziada,wafanyakazi wengi mshahara hautoshi hata mahitaji muhimu,hela ya kujilipa na kusave unatoa wapi?
Na hiki ndio huwa kinatufelisha sana mkuu "kufanya maamuzi ya kujinyima ili usave angalau kiasi kadhaa 10 to 20% "..kwa muda kadhaa kutokana na malengo yako.

Hii kanuni ya "pay your self first" ina maana kubwa sana ukiweza kuiishi.

Haijalishi una kipato kikubwa au kidogo jambo la kujilipa(save) huwa linahitaji kufanya maamuzi.
 
Back
Top Bottom