Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ni sacrifice tu mkuu, hata uongezewe 1M kwenye huo mshahara wako after few months, ukishaadopt maisha mapya ya kipato cha juu basi utaona pia hup haukutoshi.Mkuu kujilipa inabidi uwe na kipato cha ziada,wafanyakazi wengi mshahara hautoshi hata mahitaji muhimu,hela ya kujilipa na kusave unatoa wapi?
Mkuu kupanga nikuchagua kama unaweza kuishi kwa laki tatu , unaweza pia kuishi kwa 240000. Hiyo 60k ni ndogo ukiila ila ukiiweka kwenye mwaka una 720000 mara miaka kumi 7200000 ushapata kiwanja chako .Hyo hesabu n ya pesa kubw mkuu hapo unazungumzia 1mill ukitoa hyo 200 so kes sas umesha msimamisha mtanzania anae lipwa laki 3 atoe asilimia 20 bado yupo nyumba ya kupanga plus naul za kazin na chakula home......sio kuwa watanzania awawez wekeza ila vipato n vdogo kwenye nchi inayo endelea kama hii. Uwekezaji utakuwa n mwing kwa watumishi endapo salar scale zikifanyiwa marekebisho mazuri.
😂😂Apo sawa mkuu tuendeleeWazee nimesha edit,huu uzi tuacheni masikhara kidogo
Unachosema ni kweli,matumizi huwa yanaendana na mshahara..Ndio maana watu wawili wenye mishahara tofauti sana,wanaweza kuonekana kuwa na maisha yanayolingana. Ila mmoja anavaa cadet za 50k na mwingine za 22kNi sacrifice tu mkuu, hata uongezewe 1M kwenye huo mshahara wako after few months, ukishaadopt maisha mapya ya kipato cha juu basi utaona pia hup haukutoshi.
Hata kama unapata laki mbili basi hiyo hiyo jitahidi kusave hata 50k.
Kuna uwekezaji Smart kaka,kuna watu hawafanyi kazi uzeeni,pesa zao ndio zinawafanyia kazi.😂😂😂 Achana n wana siasa kina chalamila, yy apo ana bajet ya chakula,usafir, na vkolokolo kibao inayo lipwa na serikali ko n eazy ku tenga hyo pesa anayo sema,,,
Ukitaka kujua uwekezaj n mgumu nenda tu mfate mteuliwa yyote wa siasa mwambie aache kazi hyo aingie kwa uwekezaj binafs wanapauka vbya na ndo maana wanang'ang'ania hzo madaraka ili waendeshe maisha na businss zao bila tabu
Kaka kama una fursa iweke hapa wazi kila mtu aone...tupo wengi sana JF tutakusumbua huko PM,kwa faida ya wengi tuwekee hapa hayo maarifa mkuu.Kama wewe ni mfanyakazi na unataka kufanya biashara kubwa njoo inbox
Mkuu unajua kuna tofauti kati ya Kuajiriwa,Kujiajiri,Uwekezaji na Biashara? Kweli Biashara na Utumishi ni ngumu sababu ya Muda wa kugawa kwenye mambo mawili kiukamilifu haupo. Ndio maana tunataka mawazo ya uwekezaji ambao una Risk ndogo.Mtu aliyezoea kuajiriwa biashara kwake sio kipaumbele
Nimekuelewa kaka,manake hela ya kujilipa unaiiingiza kwenye bills za lazima. Kuna jamaa yangu mmoja aliwah kunishauri,anasema kujilipa/saving inabidi kiwe kitu cha kwanza unafanya kabla ya matumizi mengine yeyote.Make saving as a bill like other bills
Nimekuelewa sasa,kuna mdau mwingine ametoa hoja,anasema kujilipa inabidi iwe sehemu ya bills zako za lazima za mwezi husika... Lakini hizi hela unasave zikifika million kadhaa utazifanyia nini? si lazima ziende kwenye uwekezaji ili zikazae?Na hiki ndio huwa kinatufelisha sana mkuu "kufanya maamuzi ya kujinyima ili usave angalau kiasi kadhaa 10 to 20% "..kwa muda kadhaa kutokana na malengo yako.
Hii kanuni ya "pay your self first" ina maana kubwa sana ukiweza kuiishi.
Haijalishi una kipato kikubwa au kidogo jambo la kujilipa(save) huwa linahitaji kufanya maamuzi.
Wekeza UTT zinaendelea kuzaa automaticallyNimekuelewa sasa,kuna mdau mwingine ametoa hoja,anasema kujilipa inabidi iwe sehemu ya bills zako za lazima za mwezi husika... Lakini hizi hela unasave zikifika million kadhaa utazifanyia nini? si lazima ziende kwenye uwekezaji ili zikazae?
UTT ninawekeza mwaka wa tatu huu. Nataka kwenda beyond hapo mkuu.Wekeza UTT zinaendelea kuzaa automatically
kumbuka kama ukiweka UTT haitokuwa 7,200,000 inazaa.Mkuu kupanga nikuchagua kama unaweza kuishi kwa laki tatu , unaweza pia kuishi kwa 240000. Hiyo 60k ni ndogo ukiila ila ukiiweka kwenye mwaka una 720000 mara miaka kumi 7200000 ushapata kiwanja chako .
mkuu kwenye metals unawekezaje? Kampuni zipi hapa Bongo zinafanya Asset Management?Ukiwa muajiriwaaa jifunze spot trading(kuwekeza mda mrefu hisa/crypto/bond/metals tumieni makampun ambazo tyr yanajishughulisha na asset managements mbeleni nina mipango kuja kufungua kampuni na kufanya kwa namna hii.. msifanye active trading coz hamna mda wa kufatilia asset zenu
Ndo ivo mkuuUnachosema ni kweli,matumizi huwa yanaendana na mshahara..Ndio maana watu wawili wenye mishahara tofauti sana,wanaweza kuonekana kuwa na maisha yanayolingana. Ila mmoja anavaa cadet za 50k na mwingine za 22k
Maendeleo Maendeleo ni sacrifice mkuu, hakuna vyepesiSasa hapo sii kama laki ilishapote umebaki na laki mbili, bado sijapata totoz ya kuburudika nayo one a month. Aisee ata kama ni sacrifice hii kiboko
Huko percentage zako zikoje nikiweka million tanoUTT ninawekeza mwaka wa tatu huu. Nataka kwenda beyond hapo mkuu.
Naomba unipe muongozo ni kampuni zipi hizo? Pia naomba unieleweshe kidogo kuhusu kuwekeza kwenye metalsZipo ndio..
Asilimia moja ya pesa uliyoweka,milioni tano ukiweka unapata elfu 50 kila mwezi.Huko percentage zako zikoje nikiweka million tano