Huu uzi ni wa kuweka majina mazuri ya watoto

Huu uzi ni wa kuweka majina mazuri ya watoto

Utumwa wa fikra sijui utaisha lini kwa sisi Waafrika.

Yaani hapo kwenye orodha umeweka majina yenye asili ya Kiarabu na Kizungu hakuna majina ya asili ya Kibantu.

Hakuna mwanangu hata mmoja niliyempa jina la kigeni wote wana majina asilia kutoka kabila letu.

Hata wazungu na Waarabu huwa wanatucheka kwa namna tunavyojipendekeza kwao. Siku nikikuta mzungu au mwarabu anaitwa Maganga, Mangi, Matuvolwa, Kidawa basi ndipo nitakapojiridhisha kwamba hatujipendekezi.
 
Ka
Watu wengi wanasumbuka kupata majina ya kuwapa watoto wao kutokana na kila jina analofikilia anakuta mtoto wa jilani analo sasa hapa tutaweka majina mazuri" ya watoto Iwe ya kiislam au ya kikriso

yapo mengi naanza
1 Iclam
2 mudathir
3 mehmet
4 zubaida

kike
1sumayya
2 mulhat
3 layat
4 muzdalfat
5 rahma

1 herode
2 mathayo
3 lukas
4 yohana

kike
?
ONGEZA
1 of 13980

Mwamposa
Paramagamba
Nkomavantu
Mwashambwa
Lamomy
Kingalu
Milambo
Hangaya
Mlilwo
Andilile
Mwansasu
Sweya
Sita
Yombo
Kipara
Kingu
Tuyisenge
Hamenyimana
Sadala
Mnazi
Fungameza
Koku
Mahenge
Kabata
Chagulanyi
Irankunda
Masunga
Sengimana
Msonjela
Lunyili
Kigosi
Mushedede
Embolo
Elanga
Asanga
Kasanga
Tumbo
Muki
Kafimbwi
Mswezi
Masele
Mwakasege
Isamuhyo
Kabudi
Chipando
Chacha
Kabulizina
Funda
Shayo
Shao
Kitambala
Mayala
Mrina
Vianga
Mwanjela
Lifupa
Chawinga
Kipingu
Magembe
Lunemo
Kidava
Igenge
Kanywa
Ng'umbi
Urio
Tawete
Lukosi
Kulewa
Gwivaha
Kijazi
Kiranga
Lutumo
Kabona

Nimechoka mengine ntaongeza badae but come in peace
 
Utumwa wa fikra sijui utaisha lini kwa sisi Waafrika.

Yaani hapo kwenye orodha umeweka majina yenye asili ya Kiarabu na Kizungu hakuna majina ya asili ya Kibantu.

Hakuna mwanangu hata mmoja niliyempa jina la kigeni wote wana majina asilia kutoka kabila letu.

Hata wazungu na Waarabu huwa wanatucheka kwa namna tunavyojipendekeza kwao. Siku nikikuta mzungu au mwarabu anaitwa Maganga, Mangi, Matuvolwa, Kidawa basi ndipo nitakapojiridhisha kwamba hatujipendekezi.
SAWA
 
Watu wengi wanasumbuka kupata majina ya kuwapa watoto wao kutokana na kila jina analofikilia anakuta mtoto wa jilani analo sasa hapa tutaweka majina mazuri" ya watoto Iwe ya kiislam au ya kikriso

yapo mengi naanza
1 Iclam
2 mudathir
3 mehmet
4 zubaida

kike
1sumayya
2 mulhat
3 layat
4 muzdalfat
5 rahma

1 herode
2 mathayo
3 lukas
4 yohana

kike
?
ONGEZA
1 of 13980
Chizi nalo liko vizuri. Mbona lenyewe hujaliweka?
 
Back
Top Bottom