Huu uzi ni wa kuweka majina mazuri ya watoto

Waafrika na ujinga ni kama pipa na funiko,mtu anaamini jina zuri ni lazima liwe la kizungu au kiarabu.
Haya Mr.Mohamed
 
Siku nikiwa Rais nitafuta majina yanayotokana na lugha ya kiarabu na wazungu,lazima tuwe kama wakorea,wachina na wajapani.
Majina asili ndio kila kitu.

My name is Southgate-Junior.
 
WOlfgang
 
Hehehehe hapo kwenye Mudathiri na herode hapo koreza wino mkuu
 
Majina bora kabisa ya kiume haya hapa chini:
1. Hiza
2. Hoza
3. Makange
4. Kihiyo
5. Mhando
6. Msoka
7. Mdoe
8. Mtoi
9. Shebughe
10. Sheghomea
11. Shemshashu
12. Shekimwei
13. Shemboza
14. Shengoe
15. Shekidee
16. Shekifu
17. Shenyagwa
18. Magoma
19. Mndolwa
20. Mjata
21. Mnkande

Ya kike (baadhi)
1. Mboni
2. Mboza
3. Nemghwa
4. Nengeo
5.
6.
7.
8.
9.
10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…