Huu uzi ni wa kuweka majina mazuri ya watoto

Bila kusahau Masunga, Masanja, Nkangi na Nzokayabulabo
 
Kitobo imara
Usobora
Kiti
Sakafu
Dhahabu

Nundu
Kisu
Kisubutu

Maharagela
Maharage
Gharika
Jumbe

Chausiku
Mbalamwezi
Kitanda
Chanuo

Radi
Chuma
Kioo
 
Mkuu hayo ni majina ya vitu au watu😂😂

Majina ya watu hayo.

Sisi Watunzi wa riwaya ukitumia wahusika wa kiafrika.
Ukituambia tukutungie majina ya wahusika hakika hayo ndio utapewa

Adili
Subira.
Siri.
Kiri.
mzee Chongo.

Joshi
Baruti
Saba sumutamu
Rangimoto
Suramoja

Retina
Ajuaye
Sikujua
Pili
 
Duuh nimeipata hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…