Huu uzi uwafikie wale matonya wote wanaopambania kupata vocha za bure

Huu uzi uwafikie wale matonya wote wanaopambania kupata vocha za bure

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Kama unajijua kuwa huwa unapandwa na pressure unapoona Sandakalawe basi huu uzi unakuhusu kwa asilimia 100.

FACT - Ewe Matonya! Usipende vya bure tambua kuwa wenzako hizo vocha wamezitafuta kwa jasho na kufanya kazi.

20240813_165833.jpg


Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Shanghai nchini CHINA 🇨🇳
 
kazi kweli kweli/jobtruetrue


#ponda mali kufa kwaja
 
Mtu anayekimbilia vocha za Bure Hana tofauti na Binti anayehongwa chipsi na upaja wa broiler.

Yaani Mwanaume unawahiana kupata vocha ya Bure?
 
Msichukulie maisha ya mtandaoni serious hivyo.
 
Back
Top Bottom