Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Aug 16, 2024 #1 Kama unajijua kuwa huwa unapandwa na pressure unapoona Sandakalawe basi huu uzi unakuhusu kwa asilimia 100. FACT - Ewe Matonya! Usipende vya bure tambua kuwa wenzako hizo vocha wamezitafuta kwa jasho na kufanya kazi. Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Shanghai nchini CHINA 🇨🇳
Kama unajijua kuwa huwa unapandwa na pressure unapoona Sandakalawe basi huu uzi unakuhusu kwa asilimia 100. FACT - Ewe Matonya! Usipende vya bure tambua kuwa wenzako hizo vocha wamezitafuta kwa jasho na kufanya kazi. Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Shanghai nchini CHINA 🇨🇳
kipanga85 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2024 Posts 2,459 Reaction score 6,466 Aug 16, 2024 #2 kazi kweli kweli/jobtruetrue #ponda mali kufa kwaja
Auto-Marvelt JF-Expert Member Joined Jul 13, 2019 Posts 1,653 Reaction score 3,336 Aug 16, 2024 #3 Uandishi kama huu nilikuwa naufanya nikiwa darasa la nne
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,258 Reaction score 20,386 Aug 16, 2024 #4 Mtu anayekimbilia vocha za Bure Hana tofauti na Binti anayehongwa chipsi na upaja wa broiler. Yaani Mwanaume unawahiana kupata vocha ya Bure?
Mtu anayekimbilia vocha za Bure Hana tofauti na Binti anayehongwa chipsi na upaja wa broiler. Yaani Mwanaume unawahiana kupata vocha ya Bure?
Sang'udi JF-Expert Member Joined May 16, 2016 Posts 9,138 Reaction score 22,236 Aug 16, 2024 #5 Inashangaza sana msiotoa voucher mnaumia wenzenu kuzigombania!
Sang'udi JF-Expert Member Joined May 16, 2016 Posts 9,138 Reaction score 22,236 Aug 16, 2024 #6 Msichukulie maisha ya mtandaoni serious hivyo.
L leoleo-tu JF-Expert Member Joined Dec 18, 2018 Posts 2,224 Reaction score 6,784 Aug 16, 2024 #7 Sang'udi said: Msichukulie maisha ya mtandaoni serious hivyo. Click to expand... kabisa mkuu. yani nyuzi za voucher zimekuwa nyingi sana kama sasa sijui anayechukiwa ni mtoa voucher au mpata voucher
Sang'udi said: Msichukulie maisha ya mtandaoni serious hivyo. Click to expand... kabisa mkuu. yani nyuzi za voucher zimekuwa nyingi sana kama sasa sijui anayechukiwa ni mtoa voucher au mpata voucher