The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Wimbo uko wapi?Guys
Aisee watu wamevurugwa na hili liwe somo.kwa watawala na wastaafu wasipende siasa rahisi na za uongo uongo.
Kwa kwa sababu ya maudhui yake sitauweka hapa huo wimbo ila kama wewe ni mdau wa Tiktok utakuwa umeshausikia..
Watu wameamuka hawataki tena cheap politics na ujinga ujinga wakufanywa mazezeta na Kudanganywa hadhatani mchana kweupe.
Hili jukwaa huru, bro. Hata usipouleta huo wimbo hapa, tayari mazafakas wameshaliweka jukwaa kifungoni kwa kulionea!Guys
Aisee watu wamevurugwa na hili liwe somo.kwa watawala na wastaafu wasipende siasa rahisi na za uongo uongo.
Kwa kwa sababu ya maudhui yake sitauweka hapa huo wimbo ila kama wewe ni mdau wa Tiktok utakuwa umeshausikia..
Watu wameamuka hawataki tena cheap politics na ujinga ujinga wakufanywa mazezeta na Kudanganywa hadhatani mchana kweupe.
Hili songi kali sanaGuys

Wimbo unasikitishaHili jukwaa huru, bro. Hata usipouleta huo wimbo hapa, tayari mazafakas wameshaliweka jukwaa kifungoni kwa kulionea!
I stumbled over another one (sijui kama ni wenyewe)!
Nenda tiktok mzee hapa hapana aisee.ni shidaaaaKizuri Kula n.a. nduguzo, tuwekee hapa
Kizuri Kula n.a. nduguzo, tuwekee hapa
Huu wimbo una full version?
Yeah.💥🤪Huu wimbo una full version?