AIMtunzi wa wimbo huo ni nani?
Kwa yale matusi?!!!
Mzee Chande kaishusha 'P' yake hadi ground state kwa gharama ndogo sana
Guys
Aisee watu wamevurugwa na hili liwe somo. Kwa watawala na wastaafu wasipende siasa rahisi na za uongo uongo.
Kwa kwa sababu ya maudhui yake sitauweka hapa huo wimbo ila kama wewe ni mdau wa Tiktok utakuwa umeshausikia..
View: https://youtu.be/BF5yTtucVy0
Watu wameamuka hawataki tena cheap politics na ujinga ujinga wakufanywa mazezeta na Kudanganywa hadhatani mchana kweupe.
Hahahakwenye huo wimbo wamekosea kutumia neno “mzee” kwa maoni yangu, kwani kitanzagiza mzee ni neno la heshima hivyo kumuita mtu mzee halafu hapo hapo unamtukana siyo sawa, walipaswa wasitaje “mzee” kwani hastahili kuitwa mzee na wataje jina lake moja kwa moja plus mitusi …
Duuuh
Wewe inabidi kwanza tukurudishe darasa la 2C ukajifunze kuandika Imla kwanza ndio uje kuwafundisha watu hapa, umeandika nonesenseUkiniuliza mimi nitakwambia tu kwamba Huo wimbo unaeleza zaidi ujinga wa watunzi,wewe ulioleta hapa,hao ambao wanaunga mkono aina hii ya mtindo wa maisha.Inasadifisha kwamba bado tunahitaji kuendelewa kutawaliwana kuendeshwa kwa sababu bado hatuna UPEO wa kuelewa uongozi,mamlaka,utu,heshima n.k.
Sijakataa kama nimeandika Nonsence ha ukizingatia kwamba aina ya watu ninaowaandikia ni watu ambao wanaweza tungawimbo wakaimba matusi ya nguoni dhidi ya mzee wa miak 70+ ambaye amewahi kuwa Jaji mkuu wa nchi ambaye amepewa kazi akaifanya kwa kadiri ya uwezo wake.Kazi ambayo hata wewe ungepewa usingeweza kuifanya na ungeifanya usingeweza kuwa na hekima ya kuamua uifanyeje.Wewe inabidi kwanza tukurudishe darasa la 2C ukajifunze kuandika Imla kwanza ndio uje kuwafundisha watu hapa, umeandika nonesense
Jifunze kuandika vizuri kwanza na kutenganisha maneno na , au . Tenganisha vizuri ndio maana nikakwambia wewe unabidi urudishwe shule kwa mikwaju kabisa ili ujue kuelewa vizuri somo la Imla kwenye kiswahili linafundisha niniSijakataa kama nimeandika Nonsence ha ukizingatia kwamba aina ya watu ninaowaandikia ni watu ambao wanaweza tungawimbo wakaimba matusi ya nguoni dhidi ya mzee wa miak 70+ ambaye amewahi kuwa Jaji mkuu wa nchi ambaye amepewa kazi akaifanya kwa kadiri ya uwezo wake.Kazi ambayo hata wewe ungepewa usingeweza kuifanya na ungeifanya usingeweza kuwa na hekima ya kuamua uifanyeje.
Kama taifa tunapaswa tuelewa kwamba kutofautiana kupo,kutokukubaliana kupo ili hayo hayatufanyi tuanze kuwa na desturi za kukosa staha za kawaida tu.Hivi unafikiri Taifa lolote imara linajengwa katika misingi ya namna hiyo?Misingi ya kutunga matusi dhidi ya mtu.Hivi wewe ukafika nyumbani kwako mwanao na wewe mkatofautiana akaanza kukutukana matusi ya nguoni kama mzazi utachukuliaje hiyo hali?
Sawa mitandao inatupa Ujasiri ila tusijenge desturi ya namna hii tujenge Jamii ambayo ina ustaarabu,Inasikitisha sana.
Kwamba kwa kutaka views na like sasa tufanye iwe ni kawaida kutukanana Kweli?
Haya bwana kikitu.Nakutakia UZEE mwema.Jifunze kuandika vizuri kwanza na kutenganisha maneno na , au . Tenganisha vizuri ndio maana nikakwambia wewe unabidi urudishwe shule kwa mikwaju kabisa ili ujue kuelewa vizuri somo la Imla kwenye kiswahili linafundisha nini
Mimi nilisema kabla kua chande anaenda kuipoteza legacy yake hata kabla hajaleta report yake ya mchongo alitakiwa kabla chande ajitoe kwenye hio tume angekua amejisafisha na kumuita Mzee pia ni kosa pia maana hafai hata kuitwa Mzee inafaa tu aitwe chande tena hata jina usianze na herufi kubwa andika tu chande yaan km kikitu tu fulani hivi kinachotumika kufanya kitu fulani km fyekeo, mundu, nk kikimaliza kutumika kinarudishwa store
Unasema kutofautiana kupo? Watu wanauliwa na kutekwa kwa sababu ya kutofautiana maana yake kutofautiana hakuhitajiki wala kuvumilika ndio maana ukileta tofauti unatekwa au kuuwawa, sasa wewe unakuja kushangaa matusi tu wakati watu washafika level za kuuwana kwa sababu ya kutofautiana.Sijakataa kama nimeandika Nonsence ha ukizingatia kwamba aina ya watu ninaowaandikia ni watu ambao wanaweza tungawimbo wakaimba matusi ya nguoni dhidi ya mzee wa miak 70+ ambaye amewahi kuwa Jaji mkuu wa nchi ambaye amepewa kazi akaifanya kwa kadiri ya uwezo wake.Kazi ambayo hata wewe ungepewa usingeweza kuifanya na ungeifanya usingeweza kuwa na hekima ya kuamua uifanyeje.
Kama taifa tunapaswa tuelewa kwamba kutofautiana kupo,kutokukubaliana kupo ili hayo hayatufanyi tuanze kuwa na desturi za kukosa staha za kawaida tu.Hivi unafikiri Taifa lolote imara linajengwa katika misingi ya namna hiyo?Misingi ya kutunga matusi dhidi ya mtu.Hivi wewe ukafika nyumbani kwako mwanao na wewe mkatofautiana akaanza kukutukana matusi ya nguoni kama mzazi utachukuliaje hiyo hali?
Sawa mitandao inatupa Ujasiri ila tusijenge desturi ya namna hii tujenge Jamii ambayo ina ustaarabu,Inasikitisha sana.
Kwamba kwa kutaka views na like sasa tufanye iwe ni kawaida kutukanana Kweli?
Mkuu,Unafikiri watu wanauliwa kwa sababu ya kutofautiana?Ngoja nikwamba kitu ambacho haujagundua.Watu anauliwa ili wanyamazishwe.Watu wananyamazishwe pale ama wanapkuwa wanfahamu sana au wanapokuwa wanasema sana.Duniani kote Serikali zote ni mifumo yote ya kiutawala ya sasa hapa duniani inaendeshwa namna hiyo.Unasema kutofautiana kupo? Watu wanauliwa na kutekwa kwa sababu ya kutofautiana maana yake kutofautiana hakuhitajiki wala kuvumilika ndio maana ukileta tofauti unatekwa au kuuwawa, sasa wewe unakuja kushangaa matusi tu wakati watu washafika level za kuuwana kwa sababu ya kutofautiana.
Na ndio kutofautiana kwenyewe huko mkuu, sasa hivi watu wanaogopa kukosoa serikali maana ndio kutofautiana na serikali, kitu ambacho unaweza kujikuta ushatekwa.Mkuu,Unafikiri watu wanauliwa kwa sababu ya kutofautiana?Ngoja nikwamba kitu ambacho haujagundua.Watu anauliwa ili wanyamazishwe.Watu wananyamazishwe pale ama wanapkuwa wanfahamu sana au wanapokuwa wanasema sana.Duniani kote Serikali zote ni mifumo yote ya kiutawala ya sasa hapa duniani inaendeshwa namna hiyo.
Kuna mambo mabaya sana yanafanyika na ni mengi ila mengine inabidn yafanyike maana yasipofanyika kuna mabaya mengi zaidi ya hayo yatafanyika.So usifikiri kwamba watu hawaoni wanaona.
Mimi ushauri wangu ni huu."Ole wako Serikali ikikosea na Wewe ukawa Sahihi"
Nilipoona hii message nikajua uwezo wako mdogo wa akiliMkuu,Unafikiri watu wanauliwa kwa sababu ya kutofautiana?Ngoja nikwamba kitu ambacho haujagundua.Watu anauliwa ili wanyamazishwe.Watu wananyamazishwe pale ama wanapkuwa wanfahamu sana au wanapokuwa wanasema sana.Duniani kote Serikali zote ni mifumo yote ya kiutawala ya sasa hapa duniani inaendeshwa namna hiyo.
Kuna mambo mabaya sana yanafanyika na ni mengi ila mengine inabidn yafanyike maana yasipofanyika kuna mabaya mengi zaidi ya hayo yatafanyika.So usifikiri kwamba watu hawaoni wanaona.
Mimi ushauri wangu ni huu."Ole wako Serikali ikikosea na Wewe ukawa Sahihi"
Uwezo wangu ni mdogo sana kwa kweli ndio maana ninapoona watu wenye uwezo mkubwa kama wewe nawasikiliza kwa makini ili nijifunze sasa nikiona mnaishi kutukana najikuta naona bora nibakie na ujinga wangu tu kama akili zenyewe ndio hiziNilipoona hii message nikajua uwezo wako mdogo wa akili
Hivi unaelewa Kwamba kuna kukosoa,na kuna kupinga.Iko hivi unapokosoa haimaanishi kwamba wewe uko sahihi.Kwa mfano mimi na wewe hapa tunajadiliana kuhusu tabia ya KUTUKANA in PUBLIC tena matusi ya NGUONI wewe unasema kwamba ni sawa akitukanwa kwa sababu ametukosea kwa kuleta riport ambayo hatujaipenda.Kisha sasa Wasimamizi wa sheria watamkamata mtu aliyetukana na kumweka kizuizini mtasema anaonewa ila mnachosahau ni kwamba Sheria inaktaza matumizi ya lugha ya matusi na hata ustaarabu wa kawaida unakataa hilo.Na ndio kutofautiana kwenyewe huko mkuu, sasa hivi watu wanaogopa kukosoa serikali maana ndio kutofautiana na serikali, kitu ambacho unaweza kujikuta ushatekwa.
Mkuu unapozuia watu uhuru wao wa kutoa maoni yao mambo kama hayo si ajabu kutokea, sio kwamba mimi naona sawa hayo matusi hasa kwa mzee kama yule bali naangali kipi chanzo kilichotufikisha hapa kama taifa? Maana si matusi tu bali tumefikia hadi kufurahia vifo vya watu.Hivi unaelewa Kwamba kuna kukosoa,na kuna kupinga.Iko hivi unapokosoa haimaanishi kwamba wewe uko sahihi.Kwa mfano mimi na wewe hapa tunajadiliana kuhusu tabia ya KUTUKANA in PUBLIC tena matusi ya NGUONI wewe unasema kwamba ni sawa akitukanwa kwa sababu ametukosea kwa kuleta riport ambayo hatujaipenda.Kisha sasa Wasimamizi wa sheria watamkamata mtu aliyetukana na kumweka kizuizini mtasema anaonewa ila mnachosahau ni kwamba Sheria inaktaza matumizi ya lugha ya matusi na hata ustaarabu wa kawaida unakataa hilo.
Unafikiri kukosoa serikali ndio kuko hivyo.Au mnafikir kudai Unlimited freedom and rights ndio rights?Haki yako inaishia pale haki ya mwenzako inapoanzia.Unaweza kukemea Makosa ila haimaanishi kwamba wewe uko sahihi.Unaweza kuwa umekosea sana.
Mimi niliupata humu humu JF, nahisi uzi ulishafutwaKizuri Kula n.a. nduguzo, tuwekee hapa