Pfizer
JF-Expert Member
- Mar 25, 2021
- 590
- 807
Kuna watu ambao hawajapata elimu ya Kwanini NEMC inapambana na Bar na Hotel zinazopiga Kelele kisha wakifungiwa wanakimbilia kwenye kichaka cha Muziki na kudai NEMC inakataza na kuzuia Muziki ili wapenda Muziki wawaunge Mkono.
Ukweli NEMC inataka watu wapige Muziki kwa sauti inayokubalika na Wenye kumbi wote wana kipimo cha sauti inayotakiwa. Au watumie vifaa vya kudhibiti sauti isisumbue watu walio nje ya tukio.
Ulishawahi kukaa mtaani kukaja mkesha wa Harusi ukapamba na kelele hadi ukishindwa kulala?
Ukisilikiza huu wimbo utakutoa tongo tongo.
Je, NEMC inazima Muziki?