kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
Huu wimbo sio rafiki kabisa. Umekaa kama vile unakejeli makundi mbalimbali ya wananchi walioathirika na utawala wa awamu ya tano.
Wepi mnataka waendelee kuisoma namba?
Je, ni wananchi waliopigwa na maisha kutokana ugumu wa upatikanaji wa pesa kwenye utawala huu?
Je, ni vijana waliokosa ajira waliorundikana huku mtaani?
Je, ni wastaafu hawa wanaocheleweshewa mafao yao baada ya kulitumikia taifa kwa muda wote wa maisha yalopita?
Je, wale walioachishwa kazi kwa kukosa cheti cha form four na kutopewa hata nauli?
Je, wafanyakazi waliosoteshwa bila kubadilishiwa madaraja kwa miaka yote mitano ya utawala huu?
Nk, huo wimbo yawezekana ulikua na mantiki kipindi cha nyuma ila kwa sasa nasema noo, huu wimbo utakua unakera watu wengi upigwe marufuku.