NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Tumejipanga mwaka huu wataisoma.
haka kawimbo kama mpinzani kanachoma sana kumoyo.
haka kawimbo kama mpinzani kanachoma sana kumoyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na vile tuna nyimbo nyingi na za midundo yote sasa
2810
Wana stress humu ndani mtu mmoja ana zaidi ya ID3 za kupost matusi. Wengine wamezikana ID zao kwa muda wanasikiliza upepohio inaitwa depression yaani wimbo tu mtu anafungua thread
Ni baba mpumbavu pekee kama stone anayeweza kusifiwa kwa kumnunulia mkewe Iphone X lakini aliacha mwanae akafa kwa kukosa laki moja ya matibabu. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 8[1](a) inasema "Lengo kuu la serikali litakuwa ni ustawi wa (wananchi) WATU sio ustawi wa VITU. Asomaye na afahamu.!Vibaraka na wanaotumiwa na vibaraka wacha waisome namba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mafisadi mnaisoma namba sasa mnadhani sisi woote tunaisoma kama nyie.Huu wimbo sio rafiki kabisa. Umekaa kama vile unakejeli makundi mbalimbali ya wananchi walioathirika na utawala wa awamu ya tano.
Wepi mnataka waendelee kuisoma namba?
Huu wimbo unawachoma hadi leo mmeamua kusema ukweli.Mkuu uko sahihi kabisa
Tena una matusi wanaimba “wajinga wale”
Na tena unashabikia na kuhalalisha kila tunaloliona baya la CCM, ni wa kiudhalilishaji, umevaa kejeli na dhihaka.
Tutamsomesha magu namba mwaka huu.Huu wimbo sio rafiki kabisa. Umekaa kama vile unakejeli makundi mbalimbali ya wananchi walioathirika na utawala wa awamu ya tano.
Wepi mnataka waendelee kuisoma namba?
Huo hauna sababu ya kupigwa marufuku,utajipiga wenyewe.Huu wimbo sio rafiki kabisa. Umekaa kama vile unakejeli makundi mbalimbali ya wananchi walioathirika na utawala wa awamu ya tano.
Wepi mnataka waendelee kuisoma namba?
Tupo tumejaa tele kama pishi la ngano na mcheleWana stress humu ndani mtu mmoja ana zaidi ya ID3 za kupost matusi. Wengine wamezikana ID zao kwa muda wanasikiliza upepo
Tena kama kale ka kipande kanasema "waacheni waaandamanee eeh.....wajinga wale" we unadhani wajinga gani wanapenda kuandamana kila kukichaTumejipanga mwaka huu wataisoma.
haka kawimbo kama mpinzani kanachoma sana kumoyo.
Kwahiyo unahalalisha ukosefu wa ajira nisahihi?nchi zenye shida ya ajira viongozi wake wanapambana kuona vijana wao wanafanikiwa hata kuwapa passport waende nchi zilizozubaa wakapate fursa za maishaNitajie nchi zisizokua na tatizo la ajira duniani
Vibaraka na wanaotumiwa na vibaraka wacha waisome namba
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Vibaraka na wanaotumiwa na vibaraka wacha waisome namba
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huu wimbo sio rafiki kabisa. Umekaa kama vile unakejeli makundi mbalimbali ya wananchi walioathirika na utawala wa awamu ya tano.
Wepi mnataka waendelee kuisoma namba??
Je ni wananchi waliopigwa na maisha kutokana ugumu wa upatikanaji wa pesa kwenye utawala huu??
Je ni vijana waliokosa ajira waliorundikana huku mtaani?
Je ni wastaafu hawa wanaocheleweshewa mafao yao baada ya kulitumikia taifa kwa muda wote wa maisha yalopita?
Je wale walioachishwa kazi kwa kukosa cheti cha form four na kutopewa hata nauli?
Je wafanyakazi waliosoteshwa bila kubadilishiwa madaraja kwa miaka yote mitano ya utawala huu?
Nk, huo wimbo yawezekana ulikua na mantiki kipindi cha nyuma ila kwa sasa nasema noo, huu wimbo utakua unakera watu wengi upigwe marufuku.