Uchaguzi 2020 Huu wimbo wa CCM wataisoma namba upigwe marufuku kwenye kampeni hizi

Uchaguzi 2020 Huu wimbo wa CCM wataisoma namba upigwe marufuku kwenye kampeni hizi

Kwahiyo unahalalisha ukosefu wa ajira nisahihi?nchi zenye shida ya ajira viongozi wake wanapambana kuona vijana wao wanafanikiwa hata kuwapa passport waende nchi zilizozubaa wakapate fursa za maisha
Nchi zilizozubaa😂😂
Naona una zile akili za kuzamia meli au kubeba sembe wewe
 
Vibaraka na wanaotumiwa na vibaraka wacha waisome namba

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
sasa hivi yeye mwenyewe anasoma namba hadi anapiga magoti kwenye kampeni
 
Nchi zilizozubaa😂😂
Naona una zile akili za kuzamia meli au kubeba sembe wewe
kwakweli wewe una akili za kunguni ,mnafanana kila kitu tofauti yenu ni miili
 
Back
Top Bottom