Uchaguzi 2020 Huu wimbo wa CCM wataisoma namba upigwe marufuku kwenye kampeni hizi

Tumejipanga mwaka huu wataisoma.

haka kawimbo kama mpinzani kanachoma sana kumoyo.
 
hio inaitwa depression yaani wimbo tu mtu anafungua thread
Wana stress humu ndani mtu mmoja ana zaidi ya ID3 za kupost matusi. Wengine wamezikana ID zao kwa muda wanasikiliza upepo
 
Vibaraka na wanaotumiwa na vibaraka wacha waisome namba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni baba mpumbavu pekee kama stone anayeweza kusifiwa kwa kumnunulia mkewe Iphone X lakini aliacha mwanae akafa kwa kukosa laki moja ya matibabu. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 8[1](a) inasema "Lengo kuu la serikali litakuwa ni ustawi wa (wananchi) WATU sio ustawi wa VITU. Asomaye na afahamu.!
 
Ngoja nikupe mfano mdogo chukulia wewe unaanzisha timu yako halafu unaanzisha na ligi kwa kuita timu zingine zishiriki muda huo huo waamuzi unawatafuta wewe na kuwalipa wewe je hii timu yako itapoteza mchezo hata mmoja ?
 
Huu wimbo sio rafiki kabisa. Umekaa kama vile unakejeli makundi mbalimbali ya wananchi walioathirika na utawala wa awamu ya tano.

Wepi mnataka waendelee kuisoma namba?
Mafisadi mnaisoma namba sasa mnadhani sisi woote tunaisoma kama nyie.
 
Kuna sheria ya uchaguzi inakataza nyimbo za kejeli kwenye kampeni.
 
Huu wimbo sio rafiki kabisa. Umekaa kama vile unakejeli makundi mbalimbali ya wananchi walioathirika na utawala wa awamu ya tano.

Wepi mnataka waendelee kuisoma namba?
Tutamsomesha magu namba mwaka huu.
 
Huu wimbo sio rafiki kabisa. Umekaa kama vile unakejeli makundi mbalimbali ya wananchi walioathirika na utawala wa awamu ya tano.

Wepi mnataka waendelee kuisoma namba?
Huo hauna sababu ya kupigwa marufuku,utajipiga wenyewe.
 
Wana stress humu ndani mtu mmoja ana zaidi ya ID3 za kupost matusi. Wengine wamezikana ID zao kwa muda wanasikiliza upepo
Tupo tumejaa tele kama pishi la ngano na mchele
 
Nitajie nchi zisizokua na tatizo la ajira duniani
Kwahiyo unahalalisha ukosefu wa ajira nisahihi?nchi zenye shida ya ajira viongozi wake wanapambana kuona vijana wao wanafanikiwa hata kuwapa passport waende nchi zilizozubaa wakapate fursa za maisha
 
Sasa hivi CCM ndiyo wanaisoma namba hadi wanapiga magoti kuomba pooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…