Huu wimbo wa Nikki na Joh Makini ni Dongo kwa Le Mutuz?

Status
Not open for further replies.
Jamaa uko vizur
 
Baba Swalehe aachane na nia ya kumjibu nikki.
 
 
Hiyo ngoma ya Le Mutuz lazima iwe tight Sana. Jamaa namuaminia ni mult-talent, yaani I can't wait. Video lazima iwe na bebiz wakali wa town wote.
 
Yani nimesoma comments nacheka mpaka mbavu zinauma....Mzeee wa Le mbebezzz amekuja kuchungulia aiseeee
 
W.J. Malecela ana akili kubwa sana najua atatoa track yenye akili kubwa pia..u know live from Dodoma Dontown kwa baba mzazi
 
Mbona comment yake Le Mutuz ipo hidden? Mods vepeee?
 
Teh teh bila shaka hata yeye mwenyewe akisoma huu uzi atavunja mbavu
 
Digrii nne kwa mkupuo nimecheka hadi nimeachia ushuuuuuzi. Huyu ndiyo yule tunasemaga aliruka steji.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…