Huu wimbo wa Nikki na Joh Makini ni Dongo kwa Le Mutuz?

Huu wimbo wa Nikki na Joh Makini ni Dongo kwa Le Mutuz?

Status
Not open for further replies.
Baada ya Nikki wa Pili kurusha jiwe gizani hatimaye kuna mtu kasema 'hayaaaaaaaa' ,hii inatokana na ngoma inayoitwa baba Swalehe yenye maneno ambayo siyo mazuri kwa tycoon la all bongo social media. Nanukuu "kila siku uko insta,vitu unavyopost siyo smart,eti una Lembebezz kama mswati" mwisho wa kunukuu

Katika kuonekana kama kweli yuko siriazi na swala hili tycoon huyo ametumia muda mwingi studio na gym ili kujiandaa na vita hiyo lyrically and physically, ambapo mashabiki wa kundi la weusi wamemuomba Nikki atafute backup kutoka kwa weusi ili kwenda sawa na mutu huyo mwenye miraba sita.
12353821_909568962424863_2068470092_a.jpg
1172976_1109280015751514_145312389_n.jpg

Pia wadau mbalimbali wa burudani nchini wameiita vita hivyo kama vita vya kisomi (intellectual rivalry) tukizingatia ukweli kwamba hapo ni degree 5 zinapigana ,na mpaka 2017 zinaweza kuwa degree 10 (maana kuna habari tycoon amechukua fomu anataka apige degree 4 kwa mkupuo)
Tulipomvutia waya tycoon huyo alisema "nmekamilisha verse 2 za diss track yangu ambapo nitaipeleka cosota kabla ya kuisambaza redioni ili niweze kupata mirabaha yangu,sisi unajua mimi ni Le Gademzzz akili kubwa" ambapo aliomba tumpe muda kidogo apashe Le Ubongozz kidogo gym thn akakata simu.

mpaka tunaingia mitamboni saa nane usiku paparazi wetu aliokuwa anaifuatilia super noah alidai jamaa alkuwa bado yuko gym
Jamaa uko vizur
 
Baba Swalehe aachane na nia ya kumjibu nikki.
 
Baada ya Nikki wa Pili kurusha jiwe gizani hatimaye kuna mtu kasema 'hayaaaaaaaa' ,hii inatokana na ngoma inayoitwa baba Swalehe yenye maneno ambayo siyo mazuri kwa tycoon la all bongo social media. Nanukuu "kila siku uko insta,vitu unavyopost siyo smart,eti una Lembebezz kama mswati" mwisho wa kunukuu

Katika kuonekana kama kweli yuko siriazi na swala hili tycoon huyo ametumia muda mwingi studio na gym ili kujiandaa na vita hiyo lyrically and physically, ambapo mashabiki wa kundi la weusi wamemuomba Nikki atafute backup kutoka kwa weusi ili kwenda sawa na mutu huyo mwenye miraba sita.
12353821_909568962424863_2068470092_a.jpg
1172976_1109280015751514_145312389_n.jpg

Pia wadau mbalimbali wa burudani nchini wameiita vita hivyo kama vita vya kisomi (intellectual rivalry) tukizingatia ukweli kwamba hapo ni degree 5 zinapigana ,na mpaka 2017 zinaweza kuwa degree 10 (maana kuna habari tycoon amechukua fomu anataka apige degree 4 kwa mkupuo)
Tulipomvutia waya tycoon huyo alisema "nmekamilisha verse 2 za diss track yangu ambapo nitaipeleka cosota kabla ya kuisambaza redioni ili niweze kupata mirabaha yangu,sisi unajua mimi ni Le Gademzzz akili kubwa" ambapo aliomba tumpe muda kidogo apashe Le Ubongozz kidogo gym thn akakata simu.

mpaka tunaingia mitamboni saa nane usiku paparazi wetu aliokuwa anaifuatilia super noah alidai jamaa alkuwa bado yuko gym[/QUOT\]

- Now I understand kwa nini Soud Brown amenipigia Simu kumbe kuna this hahaha muanzisha thread thank U kwa kuniongezea umaarufu, HIYO picha ya Studio niliipiga Mwaka Jana nikiwa Studio natengeza vupindi vya my new TV Talk Show kwa HIYO ni Uongo wa KITOTO, Na Mwaka Mpya 2016 niliamua kuanza Mazoezi ili kuachana na Unene that is all kwamba kuna muziki wa Nikiwapili SIIJUI na wala huwa sisikilizi,

- Kwa kifupi ni kwamba nipo Dodoma ambako nimekuja Leo na Ndege ya Asubuhi kwa ajili ya Vikao vya Chama Cha Mapinduzi Taifa kwa Siku Mbili, na nikirudi nitakuwa kwenye matayarisho ya Safari yangu ya Dubai ambako Shirika la Ndege la Emirates limenichagua na kunialika for Study Tour all paid for One week ili kuingia nao mkataba wa kuwatangaza at outlets zangu za Social Media so I am very busy.

- kwa ukisoma vizuri hii habari ninahisi kuna mchezo wa kuipromote hiyo song ambayo kama kweli ipo nitashukuru sana cause itaniongezea followers, ambao ni mtaji wangu kwenye Biashara zangu za Social Media. Ni kweli I make Big money from my Instagram, na ni kweli ninakubalika sana na Mabebezz wengi hapa Mjini na ndio base yangu na ni kweli I make Millions of Tshillings from it yaani Instagram na Blog.

- Again mleta mada anaonekana ni part of promoting hiyo single maana siamini kuna binadam anaweza kuchukua picha na kutengeneza hadithi ya Uongo kama hii mpaka Radio zikaingilia kati na kuanza kunipigia simu ndicho alichotaka kuuza tu the song kwa kutumia jina langu ila Mimi sio mjinga I will make more money out of this mess it is my professional to see Opportunity at any situation.

Le Mutuz live from Dodoma Downtown
 
Hiyo ngoma ya Le Mutuz lazima iwe tight Sana. Jamaa namuaminia ni mult-talent, yaani I can't wait. Video lazima iwe na bebiz wakali wa town wote.
 
Yani nimesoma comments nacheka mpaka mbavu zinauma....Mzeee wa Le mbebezzz amekuja kuchungulia aiseeee
 
W.J. Malecela ana akili kubwa sana najua atatoa track yenye akili kubwa pia..u know live from Dodoma Dontown kwa baba mzazi
 
Mbona comment yake Le Mutuz ipo hidden? Mods vepeee?
 
Teh teh bila shaka hata yeye mwenyewe akisoma huu uzi atavunja mbavu
 
Digrii nne kwa mkupuo nimecheka hadi nimeachia ushuuuuuzi. Huyu ndiyo yule tunasemaga aliruka steji.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom