Huu wimbo wa Nikki na Joh Makini ni Dongo kwa Le Mutuz?

Huu wimbo wa Nikki na Joh Makini ni Dongo kwa Le Mutuz?

Status
Not open for further replies.
- Ungeanza na kujiangalia wewe kwanza una maana baba yako ni kama wewe mburulazzzz anatumia majina ya bandia kutukana watu kwenye mitandao? hahahaha pole sana huna akili kabisa hahahaha mtu mwenye akili hawezi kuingia hapa na majina ya bandia hahahahaha

le Mutuz
Nilitegemea hilo toka kwako,jitahidi kuwa na busara ili kureflect taswira ya mzee wako sio kila muda kuandika trash na vipicha visivyoendana na umri wako hata sisi ambao ni wadogo kwako hatujawahi kupost picha za wasichana wakibembea mabegani mwetu.
Jiheshimu kidogo tu kama sana huiwezi.
 
Baada ya Nikki wa Pili kurusha jiwe gizani hatimaye kuna mtu kasema 'hayaaaaaaaa', hii inatokana na ngoma inayoitwa baba Swalehe yenye maneno ambayo siyo mazuri kwa Tycoon la all bongo social media.

Nanukuu "Kila siku uko insta, vitu unavyopost siyo smart, eti una Lembebezz kama Mswati" mwisho wa kunukuu.

Katika kuonekana kama kweli yuko siriazi na swala hili, Tycoon huyo ametumia muda mwingi studio na gym ili kujiandaa na vita hiyo lyrically and physically, ambapo mashabiki wa kundi la weusi wamemuomba Nikki atafute backup kutoka kwa Weusi ili kwenda sawa na mutu huyo mwenye miraba sita.

12353821_909568962424863_2068470092_a.jpg

1172976_1109280015751514_145312389_n.jpg

Pia wadau mbalimbali wa burudani nchini wameiita vita hivyo kama vita vya kisomi (intellectual rivalry) tukizingatia ukweli kwamba hapo ni degree 5 zinapigana , na mpaka 2017 zinaweza kuwa degree 10 (maana kuna habari tycoon amechukua fomu anataka apige degree 4 kwa mkupuo).

Tulipomvutia waya tycoon huyo alisema "Nmekamilisha verse 2 za diss track yangu ambapo nitaipeleka COSOTA kabla ya kuisambaza redioni ili niweze kupata mirabaha yangu, Sisi unajua mimi ni Le Gademzzz akili kubwa" ambapo aliomba tumpe muda kidogo apashe Le Ubongozz kidogo gym thn akakata simu.

Mpaka tunaingia mitamboni saa nane usiku paparazi wetu aliokuwa anaifuatilia super Noah alidai jamaa alkuwa bado yuko gym.
Inasikitisha sana mpaka umri huo le bebezz hajajua kazi yake haswa ni ipi anaishi kwa kudandia dandia fani.ICD imemshinda?
Michango ya harusi alikusanya kwa waarabu wa kigamboni mpaka leo hajaoa @w.j.malecela
 
Wewe ndio mgonjwa, mie natibugi watu wenye matatizo kama yako, mtoto wakiume unakenuaa ovyo, alafu hii ni dalili ya unayoambiwa yanakuchoma yaani yanakuingia taratibuuu kama sindano, yanakuchoma zaidi ya pasi, mwili jumba akili kisoda pyeee

- hahahahaha hapa ni ofisini kwangu ndio nipo now karibu sana ni jengo la Tancot House 2nd floor karibu na Sukari House I hope na wewe una ofisi yako hapa downtown kama mimi hahahahahahaha

le Mutuz
 
Nilitegemea hilo toka kwako,jitahidi kuwa na busara ili kureflect taswira ya mzee wako sio kila muda kuandika trash na vipicha visivyoendana na umri wako hata sisi ambao ni wadogo kwako hatujawahi kupost picha za wasichana wakibembea mabegani mwetu.
Jiheshimu kidogo tu kama sana huiwezi.

- Watu wote wa umri wangu wenye akili kama mimi wana ofisi hapa town kama mimi, wewe vipi unayo au ni kelele tu za kwenye simu maana mimi naandika nikiwa ofisini sawa! hahahahahaha

le Mutuz
 
Inasikitisha sana mpaka umri huo le bebezz hajajua kazi yake haswa ni ipi anaishi kwa kudandia dandia fani.ICD imemshinda?
Michango ya harusi alikusanya kwa waarabu wa kigamboni mpaka leo hajaoa @w.j.malecela

- Kudandai? hahahahaha hii ni ofisi yangu unaweza kua na ofisi kama huu kwa kuishi kwa kudandia? Hkivi unajua haya majengo ya Downtown unalipa kwa dola za kimarekani? hahahahaha pole sana mkuu busy nipo office kaz kwanza

le Mutuz
 
Wee jamaa ni nyumbu,alafu hivyo viwiko vyako vya mikono uwe wavipaka mafuta basi

- Watu wote wa umri wangu wenye akili kama mimi wana ofisi hapa town kama mimi, wewe vipi unayo au ni kelele tu za kwenye simu maana mimi naandika nikiwa ofisini sawa! hahahahahaha

le Mutuz
 
Wee jamaa ni nyumbu,alafu hivyo viwiko vyako vya mikono uwe wavipaka mafuta basi

- hahahahahaha unaona hiyo at my office wabebezz wanakuja left and right ukiwa Celebrity tu ndio unayaweza haya sio kama wewe hujulikani kabisaa hahahahahaha hata baba yako hajulikani duh hahahaha

le Mutuz
 
- hahahahahaha tizama mlikoanzia na Nickwapili sasa imekuwa mtoto hahahahahaha, halafu nilikuwa sijaangalia kumbe tayari ni page 4 ila viewers 10,000 ndio maana ya Super Celebrity I love it!!

le Mutuz
Hahahahahahaha....U know Supergadem kwenye ubora wake babu mtu hatari sana wewe.Le Big Mwili mwenye Degree 3 Ambazo anashindwa kuzitumia..Vipi Mpango uliosema unaanza PHd Hapo Udsm Maana Umekuwa kama Bongo Movie
 
- hahahahahahahha pata hiyo pic ya batazzz batanannnn U know hahahahahaha me I lov it

le Mutuz
 
- hahahahahahahha pata hiyo pic ya batazzz batanannnn U know hahahahahaha me I lov it

le Mutuz

Babu nimekuuliza Phd Vipi maana uliongea sana nimeshachukua form Mara Soon naanza shule halafu ukapotelea hewani kama moshi wa sigara..acha kutania swala la shule babu..kwenye hizo 3 ulizonazo umeshatumia ipi kwenye maisha ya kawaida? Le Mwili Kubwa Akili Kisoda
 
- Shule haina haraka nilishachukua fomu nitasoma anytime nikiwa tayari, naomba kuuliza swali moja serious eti wewe ndiye unayenilipia maisha hapa mjini? maana mtoto mdogo au anayeshindwa kutumia elimu yake ni yule anayelishwa na kutunzwa wewe unanilipia nini mkuu? hahahahahah by the way umeona hiyo pic ya batazzz batannnn? hahahaha

le Mutuz
 
nasay%2B1.jpg

The King Of All Bongo Social Media Network Le Big Show hanging out with my baby Super Model Nasy live at her Birthday Party downtown Biltz Club!!

- Batazzz Batannn nakura maisha yangu U know, nakura my freeedom poleni sana life goes on hapa hahahahahahaha U know

Le Mutuz
Vigimbi kama mpiga kokoto!vipi ndoa yako lini maana wale waarabu wasomali wa uliwatapeli michango.Vipi biashara ya ICD mbona huipigii promotion?
 
Vigimbi kama mpiga kokoto!vipi ndoa yako lini maana wale waarabu wasomali wa uliwatapeli michango.Vipi biashara ya ICD mbona huipigii promotion?

- ICD inaendelea kama kawa, halafu vipi ulinichangia ngapi au hao watu wako walinichangia ngapi maana unaongea kama ulikuwepo, kama wewe ni mtoto wa kiume kuwa mungalifu maana unaongea sana kimbeya mbeya hahahahahahahaha

le Mutuz
 
- hahahahaha hapa ni ofisini kwangu ndio nipo now karibu sana ni jengo la Tancot House 2nd floor karibu na Sukari House I hope na wewe una ofisi yako hapa downtown kama mimi hahahahahahaha

le Mutuz
wewe nae ni jipu chungu ofisi unauza wanawake kwa wahidi tena watoto wa chuo tutafunguka kama ukiendelea na huu upuuzi.sawa baba swalehe.

swissme
 
wewe nae ni jipu chungu ofisi unauza wanawake kwa wahidi tena watoto wa chuo tutafunguka kama ukiendelea na huu upuuzi.sawa baba swalehe.

swissme

- ni kweli maana nilianza na kukuuza wewe hahahahaha ndio maana unajua hebu funguka nilikuuza kwa nani? hahahahahahahha nikiwa sipo mna maneno mengi nikiwepo ndio kama hivi hahahaha

le Mutuz
 
huyu Dada alikukimbia kwa sababu ya weww unatoa harufu kali kwenye maungio yako .jaribu kuwa msafi unazeeka sasa hata waikina mosha hautawaona tena.
PhotoGrid_1409715091510.jpg

swissme
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom