Analogia Malenga Platinum Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,292 Reaction score 10,842 Oct 19, 2025 #1 Vitali Maembe, msanii kutoka Bagamoyo kwenye huu wimbo anasema ukiona watu wameweka majamvi, ujue wameshafiwa. Na aliyekufa hakufa kwa ugonjwa bali aliuawa. Anauliza iko wapi Tanzania tuliyokuwa tunajivunia? Your browser is not able to display this video.
Vitali Maembe, msanii kutoka Bagamoyo kwenye huu wimbo anasema ukiona watu wameweka majamvi, ujue wameshafiwa. Na aliyekufa hakufa kwa ugonjwa bali aliuawa. Anauliza iko wapi Tanzania tuliyokuwa tunajivunia? Your browser is not able to display this video.
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 9,103 Reaction score 15,613 Oct 21, 2025 #3 Achunge asijekutekwa!