Huu wizi kupitia Tigopesa, naomba Tigopesa mnisaidie majibu hapa

Hapo ofisini mnakaaa zaid ya moja...isije mtu kajitumia pesa zen kafuta sms ya pesa.
 
Hii inamake sense...😢😢😢
 
Mchezo uliofanyiwa hapo ni huu,
Kuna mtu alishika simu yako, akasave namba zake kwa jina la tigopesa.
Kisha akakutumia msg ya kawaida na ikaja kwa jina la tigopesa ambalo limesaviwa kwenye simu.
Huyo mtu aliangalia Salio lako kwenye msg za tigopesa. Hivo akawa anatuma msg akiongeza hizo amounts.

Umeibiwa kwa staili hiyo bila shaka
 
Nliwah kuibiwa kwa style hii ila kwa comment yako sijui nicheke au nimhurumie jamaa aloibiwa
 
Kumb No. haiwezi kufanana hata mbingu zishuke, hapo bwashee umefowadiwa meseji tu kwa namba iliyoseviwa TIGOPESA.... kisha kampa simu mwingine naye kaedit tu kiasi akafowadi tena.

Check kwenye phonebook, ukikuta namba iliyeseviwa hivyo.... jipige kifuani mara kumi na mbili.

Imeisha hiyoooo. [emoji1493][emoji1493][emoji1493]
 
Salio lililokuepo mwanzo limeongezeka vizuri tu... angekuwa kasave namba angejuaje salio lililopo kabla yeye hajatoa? Lazima salio lingepishana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…