Jibu kama simu zako zilishikwa na hao matapeli, leo au days before...
Kama walizishika tafuta mtu anaitwa TIGOPESA kwa phonebook yako ukimkuta, liaaaaaa... Kisha endelea na bness, chukulia kuwa umelipa ada ya mafunzo as hutaibiwa tena na hakuna mtu atagusa yo phone again!
Mchezo uliofanyiwa hapo ni huu,
Kuna mtu alishika simu yako, akasave namba zake kwa jina la tigopesa.
Kisha akakutumia msg ya kawaida na ikaja kwa jina la tigopesa ambalo limesaviwa kwenye simu.
Huyo mtu aliangalia Salio lako kwenye msg za tigopesa. Hivo akawa anatuma msg akiongeza hizo amounts.
Umeibiwa kwa staili hiyo bila shaka
Boss jibu maswali ya wadau clear na wengine tupate somo...na upewe njia nzuri nn cha kufanya.Salio lililokuepo mwanzo limeongezeka vizuri tu... angekuwa kasave namba angejuaje salio lililopo kabla yeye hajatoa? Lazima salio lingepishana tu
Salio lililokuepo mwanzo limeongezeka vizuri tu... angekuwa kasave namba angejuaje salio lililopo kabla yeye hajatoa? Lazima salio lingepishana tu
ngoja nikupe mpango mji unavyofanyika.kuna mtu wa tigopesa anahusika hapo ingawa siyo moja kwa moja,mpango unakuwa wa muda mrefu kidogo unaanza kwa mtu kusave namba yake kwako kwa jina la TIGOPESA or whatever,kisha anatulia kisha hapo anachokisubiri ni taarifa za salio lako la kwenye simu na mkononi,hapo ndo mtu wa tigopesa anapohusika kutoa taarifa za akaunti yako,na ndio maana uliona salio limeongezeka,kwamba walijua una shilingi ngapi kwenye simu wakajumlisha na kile kiasi walichokihitaji kutoka kwako.pole sanaSalio lililokuepo mwanzo limeongezeka vizuri tu... angekuwa kasave namba angejuaje salio lililopo kabla yeye hajatoa? Lazima salio lingepishana tu
Heheheheh ukienda kule unapoteza muda tu...sema fresh tu mwezi huu nafanya kazi bure tuHuyu jamaa kapigwa na IT tena hacker mzuri tu, hao waliokuja ni vijana wake wa kazi. Hata akienda Tigopesa hatopata msaada wowote. Ndugu, fanya mambo mengine tu
kwaiyo pesa iliyopotea ni kiasi gani?Heheheheh ukienda kule unapoteza muda tu...sema fresh tu mwezi huu nafanya kazi bure tu
Wizi huu umekuwa mwingi, asilimia kubwa Ni kivuli cha tigopesa... Tingo Kuna Nini hasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile balance ya mwanzo anaijuaje?Huu wizi uko siku nyingi ni kutochunga simu yako unayofanyia miamala
Akiishika mtu anaandika namba yake anasev jina TIGOPESA
Akija pale hatoi chochote anashika shika simu anakufowadia hilo limeseji aliloliandaa we ukiangalia unaona ni ya TIGOPESA unampa Cash anakuswaga na jingine fasta unatoa tena mpaka kuja kushtula wamemaliza droo washasepa
duh! parefu pole Sana Mkuu950k
Yaaan huu wizi ni wakitambo ndugu yangu kama nnavyokwambia hakuna kosa kubwa kwa wakala kama kutoa simu yake anayofanyia miamala kwa mtu mwingine. Hata kwenye semina si kila siku mnakatazwa?Ile balance ya mwanzo anaijuaje?
umeangalia kwenye Phonebook Yako Hakuna namba iliyoseviwa kwa jina la TIGOPESA?Ile balance ya mwanzo anaijuaje?
Mbona wewe huwa unatuchosha na thread zako ambazo hazina maana,bwege we!USITUCHOSHE NENDA OFISIZAOO MKAMALIZANE ALLAH
Dah aisee bado nafuatilia comments ili nijifunzeHuu mchezo huwa anahusishwa na mtu wa IT huko tigo na ndiyo anayetuma message ya uongo ya salio lako ambayo ndio unaona salio limeongezeka kumbe ni message hewa, mtu wa kwanza anapofanya muamala nia ni kupata namba yako na kumtajia huyo mtu wa IT huko Tigo ili kumuwezesha kuangalia details zako na ndiyo ataangalia salio lako kwenye Tigopesa ndio atskutumia message yenye kuonesha salio limeongezeka.
Kinga ni kuuliza salio kuhakiki salio baada kupokea message.
Pole kuna mdada alipigwa 4m na hao hao matapeli hana hamu na iyo biashara950k