Huu wizi wa halotel mamlaka zinasemaje?

Ais the same to me. Nimeshalalamika sana naambiwa nilijiunga, lakini sijawahi, kila nikiweka vocha wanapita nayo, so siku hizi natumia tu halopea kununua mda wa maongezi
 
Hawa jamaa ni wezi na matapeli wa kutupwa. Wamekuwa wakiniunga bila ridhaa yangu kwa huduma zao hizo za kiqumer halafu wananiambia kama sitaki nitume ONDOA ili kujitoa. Imagine ni watu wangapi wanaibiwa kwa namna hii, hasa huko vijijini! Hawa mbwa inabidi TCRA iwashughulikie ili washike adabu yao.
 
We ni kilaza by the way..au mwalimu wa kijijini halopesa si unatuma hata kama una voda kwenda halo...
Tulia kiongozi jazba hazisaidii! Some time unakuwa na jero tu na unahitaji mawasiliano ya dharula utawekaje mpesa Ili ujitumie ebu focus kwenye mada kwanza , sio kwamba hizo option za kujirushia kupitia line zingine au kubadili line au kutumia data mtandao mwingine sizijui

Swali ni kwanini wanamuunga mteja huduma ambayo yy haipendi na haina option ya kujiondoa?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sina mpango na hao wezi,kazi yao ni kukuunganisha kinyemela na huduma usiyojua ili wawe wanakata salio kila siku,na TCRA wapo tu hawachukui hatua.
 
Wambie wakuondoe wao wenyewe. Niliwatukana sana na wakaniondoa wenyewe. Ni wapuuzi kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…