Huu wizi wa magari unaoongezeka. Wanatumia mbinu gani na wanawezaje kuyatumia bila kudakwa?

Huu wizi wa magari unaoongezeka. Wanatumia mbinu gani na wanawezaje kuyatumia bila kudakwa?

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Posts
1,281
Reaction score
1,251
Najiuliza sana, naambiwa IST na WISH zinalambwa kinyama. Wezi Hawa wanatumia mbinu gani kuiba kirahisi. Wanawezaje kuyauza kwa wengine au kuyatumia pasipo kadakwa Wakati nyaraka HALISI za gari hawana?

Naomba kujuzwa ili tuwe macho na magari yetu.
 
Najiuliza Sana, naambiwa IST na WISH zinalambwa kinyama. Wezi Hawa wanatumia mbinu gani kuiba kirahisi. Wanawezaje kuyauza kwa wengine au kuyatumia pasipo kadakwa Wakati nyaraka HALISI za gari hawana? NAOMBA KUJUZWA ILA TUWE MACHO NA MAGARI YETU
Wanakata screpa
 
Naomba elimu kidogo ni rahisi kuingia kwa sababu gani? Maana sijawahi sikia kuna funguo Malaya kwenye magari

Aisee wakushaingiandani ya gari kuna nyaya wanagusisha gari inawaka wanasepa na chombo. Kwenye vioo kuna mafuta ya wanawake wanasema kalikiti sijui wanapaka kwenye kioo haichukui time kioo kinamung’unyika wanaingia wanafanya yao. Dawa ni kuweka gps tu, tena weka kwa mafundi wa2 tofauti
 
Ila za kizungu ndio ngumu au sio? Sio kwamba soko lake ni limited sana

pamoja na soko pia, shukrani kwa kuongezea, ila pia gari za europe sio rahisi kuunlock na kuliwasha kirahisi rahisi.....hata ukivunja kioo issue inakuja kuwasha....haya ya kijapan mengi ukitoa ign unaunga waya twende, funguo malaya pia zinawasha....
 
Naomba elimu kidogo ni rahisi kuingia kwa sababu gani? Maana sijawahi sikia kuna funguo Malaya kwenye magari

gari nyingi za kijapani zina mifumo rahisi kuwasha na kumanuva malock ya milango, ukitoa ign ukaunga waya twend, za europe zinakataa very complicated... nyingine ameongeza mdau juu hapo, soko la spea za gari za kijapani ni rahisi ukifananisha na VW, Benz, BMW, Audi nk...
 
Back
Top Bottom