MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,281
- 1,251
DuhWanakata kata then wanauza spare
Gari za kijapani ni rahisi sana kuingia ndani hata kama umelock.... biashara ya spare parts imeshamiri sana, zinachukuliwa zinachinjwa maisha yanaendelea.....
Wanakata screpaNajiuliza Sana, naambiwa IST na WISH zinalambwa kinyama. Wezi Hawa wanatumia mbinu gani kuiba kirahisi. Wanawezaje kuyauza kwa wengine au kuyatumia pasipo kadakwa Wakati nyaraka HALISI za gari hawana? NAOMBA KUJUZWA ILA TUWE MACHO NA MAGARI YETU
Ila za kizungu ndio ngumu au sio? Sio kwamba soko lake ni limited sanaGari za kijapani ni rahisi sana kuingia ndani hata kama umelock.... biashara ya spare parts imeshamiri sana, zinachukuliwa zinachinjwa maisha yanaendelea.....
Naomba elimu kidogo ni rahisi kuingia kwa sababu gani? Maana sijawahi sikia kuna funguo Malaya kwenye magari
Utachoka tu, dawa ni kuweka hidden circuit breaker sehemu iliyojificha ambayo wewe tu ndio unaijuaDawa ya hawa jamaa unatoa betri ukiamka una connect unaendelea na safar zako[emoji28]
inafanya vp kazi mkuu..nipe darsaUtachoka tu, dawa ni kuweka hidden circuit breaker sehemu iliyojificha ambayo wewe tu ndio unaijua
Utachoka tu, dawa ni kuweka hidden circuit breaker sehemu iliyojificha ambayo wewe tu ndio unaijua
Ila za kizungu ndio ngumu au sio? Sio kwamba soko lake ni limited sana
Hii ikoje? Yaani wabambikizaji kivipi?Kuna wizi ulitokea Mlimani City, kumbe wabambikizaji ndio walikuwa wezi wenyewe
Naomba elimu kidogo ni rahisi kuingia kwa sababu gani? Maana sijawahi sikia kuna funguo Malaya kwenye magari