Pole kwa hayo maradhi yaliyokupata ingawa hujasema ni maradhi gani?au ndio hayo maradhi ya maji ya moto? Unaona aibu hata kusema kuwa umepatwa na maradhi ya Gono au Kaswende au maradhi gani ya zinaa? Waswahili husema kila mficha utupu huwa hawezi kuzaa nenda Hospitali ukajitibie hapa hakuna dawa zaidi ya ushauri mkuu asante.Jamani ujana maji ya moto....nilicheza peku kwenye kiwanja fulan nikiamin eti hakiwezi nidhuru bt yaliyonikuta nimechoka...watoto wa mjini wanaita 'nikagongwa' (niliambukizwa)...nikajitbia na ni zaidi ya mwezi mmoja unusu sijsshiriki na mtu yeyeto tena...ila cha kushangaza ule ugonjwa umerudi tena....plz msaada wa kitaalam jaman!
Jamani ujana maji ya moto....nilicheza peku kwenye kiwanja fulan nikiamin eti hakiwezi nidhuru bt yaliyonikuta nimechoka...watoto wa mjini wanaita 'nikagongwa' (niliambukizwa std)...nikajitbia na ni zaidi ya mwezi mmoja unusu sijsshiriki na mtu yeyeto tena...ila cha kushangaza ule ugonjwa umerudi tena....plz msaada wa kitaalam jaman!
Kumbe bado hayo makitu yapo tena.